Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu ni mwanaharakati zaidi kuliko mwanasiasa.
Naona bado mnatafita pa kutokea, chadema hivi chadema vile. Tatizo ni nini?kiongozi alieko sasa ameonyesha kiwango cha chini sana cha kiuongozi katika kujikwamua kwenye mikwamo ya masula mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa njia za kidemokrasia na kidipomasia...
badala yake ana hamasisha chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao ya kidemokrasia madarakani, na kuchochea wanachama wake kujiandaa kufanya vurugu na fujo na kufanya mapinduzi ya kiongozi aliechaguliwa na wananchi kidemokrasia, hali ambayo tayari imezua taharuki, wasiwasi na inahatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi humu nchini...
kama mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama vingi, kiongozi huyo wa Chadema anapaswa kuachia ngazi au kuondolewa mara moja uongozini, kwasababu amepoteza uhalali wa kiuongozi kitaifa na kimataifa, kwasabb ya kukiuka ustaarabu wa kidemokrasia, sheria za kitaifa na kimataifa, katika kufikia muafaka wa amani ikiwa kuna mkwamo wa kisiasa mahali flani na sio kutumia fujo, vurugu, uharibifu na pengine vifo kufikia suluhu ya mkwamo huo....
Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla,
kwa mtu mchochezi kama huyu mwenye record za kutumia umafia kupata uongozi, lakini pia mtu mwenye record za uhalifu kama vile ugaidi kutoa wito kwa mataifa ya ng'ambo kuja kufanya uchunguzi wa mambo ambayo yanawezekana kufanywa na vyombo vya ndani ya nchi yetu,
sambamba na kuomba hayo kwa mataifa ya nje, humu nchini anapanga mapinduzi yenye sura ya vurugu na umwagaji damu...
Hiyo ni aibu kwa chadema na Taifa kwa ujumla. kiongozi huyo aondolewe haraka sana kwa maoni yangu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Chadema haijawzahi kuteka au kuuwa mtu yeyote, wala haijawahi kuwalazimisha watu waipende kinguvu kwa vitisho au kwa maslai zaokiongozi alieko sasa ameonyesha kiwango cha chini sana cha kiuongozi katika kujikwamua kwenye mikwamo ya masula mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa njia za kidemokrasia na kidipomasia...
badala yake ana hamasisha chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao ya kidemokrasia madarakani, na kuchochea wanachama wake kujiandaa kufanya vurugu na fujo na kufanya mapinduzi ya kiongozi aliechaguliwa na wananchi kidemokrasia, hali ambayo tayari imezua taharuki, wasiwasi na inahatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi humu nchini...
kama mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama vingi, kiongozi huyo wa Chadema anapaswa kuachia ngazi au kuondolewa mara moja uongozini, kwasababu amepoteza uhalali wa kiuongozi kitaifa na kimataifa, kwasabb ya kukiuka ustaarabu wa kidemokrasia, sheria za kitaifa na kimataifa, katika kufikia muafaka wa amani ikiwa kuna mkwamo wa kisiasa mahali flani na sio kutumia fujo, vurugu, uharibifu na pengine vifo kufikia suluhu ya mkwamo huo....
Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla,
kwa mtu mchochezi kama huyu mwenye record za kutumia umafia kupata uongozi, lakini pia mtu mwenye record za uhalifu kama vile ugaidi kutoa wito kwa mataifa ya ng'ambo kuja kufanya uchunguzi wa mambo ambayo yanawezekana kufanywa na vyombo vya ndani ya nchi yetu,
sambamba na kuomba hayo kwa mataifa ya nje, humu nchini anapanga mapinduzi yenye sura ya vurugu na umwagaji damu...
Hiyo ni aibu kwa chadema na Taifa kwa ujumla. kiongozi huyo aondolewe haraka sana kwa maoni yangu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Ooh aise,Lissu ni mgonjwa, facial appearance inaonyesha anaumwa, na kila mara anakimbilia ulaya kutibiwa. Uso umevimba vimba
Vipi tukupendekeze wewe mwenye uwezo?kiongozi alieko sasa ameonyesha kiwango cha chini sana cha kiuongozi katika kujikwamua kwenye mikwamo ya masula mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa njia za kidemokrasia na kidipomasia...
badala yake ana hamasisha chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao ya kidemokrasia madarakani, na kuchochea wanachama wake kujiandaa kufanya vurugu na fujo na kufanya mapinduzi ya kiongozi aliechaguliwa na wananchi kidemokrasia, hali ambayo tayari imezua taharuki, wasiwasi na inahatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi humu nchini...
kama mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama vingi, kiongozi huyo wa Chadema anapaswa kuachia ngazi au kuondolewa mara moja uongozini, kwasababu amepoteza uhalali wa kiuongozi kitaifa na kimataifa, kwasabb ya kukiuka ustaarabu wa kidemokrasia, sheria za kitaifa na kimataifa, katika kufikia muafaka wa amani ikiwa kuna mkwamo wa kisiasa mahali flani na sio kutumia fujo, vurugu, uharibifu na pengine vifo kufikia suluhu ya mkwamo huo....
Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla,
kwa mtu mchochezi kama huyu mwenye record za kutumia umafia kupata uongozi, lakini pia mtu mwenye record za uhalifu kama vile ugaidi kutoa wito kwa mataifa ya ng'ambo kuja kufanya uchunguzi wa mambo ambayo yanawezekana kufanywa na vyombo vya ndani ya nchi yetu,
sambamba na kuomba hayo kwa mataifa ya nje, humu nchini anapanga mapinduzi yenye sura ya vurugu na umwagaji damu...
Hiyo ni aibu kwa chadema na Taifa kwa ujumla. kiongozi huyo aondolewe haraka sana kwa maoni yangu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Ungependa iwe hivyo lakini haipo hivyo.kiongozi alieko sasa ameonyesha kiwango cha chini sana cha kiuongozi katika kujikwamua kwenye mikwamo ya masula mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa njia za kidemokrasia na kidipomasia...
badala yake ana hamasisha chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao ya kidemokrasia madarakani, na kuchochea wanachama wake kujiandaa kufanya vurugu na fujo na kufanya mapinduzi ya kiongozi aliechaguliwa na wananchi kidemokrasia, hali ambayo tayari imezua taharuki, wasiwasi na inahatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi humu nchini...
kama mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama vingi, kiongozi huyo wa Chadema anapaswa kuachia ngazi au kuondolewa mara moja uongozini, kwasababu amepoteza uhalali wa kiuongozi kitaifa na kimataifa, kwasabb ya kukiuka ustaarabu wa kidemokrasia, sheria za kitaifa na kimataifa, katika kufikia muafaka wa amani ikiwa kuna mkwamo wa kisiasa mahali flani na sio kutumia fujo, vurugu, uharibifu na pengine vifo kufikia suluhu ya mkwamo huo....
Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla,
kwa mtu mchochezi kama huyu mwenye record za kutumia umafia kupata uongozi, lakini pia mtu mwenye record za uhalifu kama vile ugaidi kutoa wito kwa mataifa ya ng'ambo kuja kufanya uchunguzi wa mambo ambayo yanawezekana kufanywa na vyombo vya ndani ya nchi yetu,
sambamba na kuomba hayo kwa mataifa ya nje, humu nchini anapanga mapinduzi yenye sura ya vurugu na umwagaji damu...
Hiyo ni aibu kwa chadema na Taifa kwa ujumla. kiongozi huyo aondolewe haraka sana kwa maoni yangu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
sawa gentleman,Chadema haijawzahi kuteka au kuuwa mtu yeyote, wala haijawahi kuwalazimisha watu waipende kinguvu kwa vitisho au kwa maslai zao
Lissu ni mgonjwa, facial appearance inaonyesha anaumwa, na kila mara anakimbilia ulaya kutibiwa. Uso umevimba vimba
Kwani hujui ni kwanini?Lissu ni mgonjwa, facial appearance inaonyesha anaumwa, na kila mara anakimbilia ulaya kutibiwa. Uso umevimba vimba
Tangu lini ukataka kuwasaidia zaidi ya kutekeleza agenda yako ya kuhajikisha inafutika.sawa gentleman,
lakini nadhani ushauri na mapendekezo yangu ya kitaalamu kwa chadema ni muhimu sana yakazingatiwa na yakatekelezwa sasa hivi, itawasaidia sana 🐒
sio Lazima gentleman,Ungependa iwe hivyo lakini haipo hivyo.
nimefanya kazi na katibu mkuu balozi kwa muda mrefu sana...Tangu lini ukataka kuwasaidia zaidi ya kutekeleza agenda yako ya kuhajikisha inafutika.