Ana hela huyo Lisu? Mbona alikuwa nccr Kwa nini haikuwa vizuri?
Kama anajiamini atoke akaanzishe chama chake tuone
CCM anapotoa ushauri was namna ya kumng'oa madarakani .. š¤£š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana hela huyo Lisu? Mbona alikuwa nccr Kwa nini haikuwa vizuri?
Kama anajiamini atoke akaanzishe chama chake tuone
kashauri kwanza KINANA AKAE PEMBENI shain wahdBinafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John
Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana
Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama hayo basi ningemfavor mbowe kwasababu labda tunatoka kijiji kimoja. Mimi sio mkabila kama mwendazake au mdini kama Gwajima.
Nachotazama ni utendaji, sasahiv upinzani wanahitaji apatikane mtu mwenye misimamo mikali sana sio mtu mpole mpole kama Mbowe.
Chama kinahitaji watu kama Lissu au wengineo ndo waongoze Chama sio Mbowe
Mbowe sasa imetosha!! Mkabidhi mtu mwingine kijiti sasa!
NotedMbowe alishajijengea heshima ya kipekee sana alipoivusha CHADEMA wakati wa misukosuko ya kutisha sana na kuweka usalama wa maisha yake rehani.
Akirudi nyuma kwa namna nyingine yoyote, baada ya kujitambulisha vile, atajivunjia heshima yote aliyojijengea katika jamii.
Kazi anayotakiwa kuisimamia na viongozi wenzake, ni kuhakikisha CCM, katika sura nyingine yoyote inayojionyesha nayo haibaki madarakani.
Natumaini utanielewa nilicho andika hapa.
Ulichoandika hapa simply unamaanisha kiongozi akiwa madarakani chini ya miaka kumi hawezi kufanya makosa, ila atakapozidisha hiyo miaka ndio anaanza kukosea, kitu ambacho hakina mantiki kabisa, ni mawazo yako tu ya kufikirika.Bila kujali lengo lako mleta Uzi, ukweli ni kuwa kiongozi mzuri wa kuchaguliwa ni yule asiyezidisha miaka 10 kwenye nafasi Moja. Iwapo atazidisha miaka 10 kwenye nafasi Moja hasa ya juu kabisa ya taasisi ama nchi, lazima ataanza kutawala kwa mizengwe, na ubora wake utazidi kushuka.
Mifano ya viongozi waliokaa madarakani zaidi ya miaka 10 na kuishia kuharibu ubora wao, ama kuishia kutawala kwa mabavu, mizengwe nk ni:
Hao wote hapo juu waliishia kutawala kwa mizengwe, mabavu ama ubora wao kushuka baada ya kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Mbowe ni sehemu ya hiyo list hapo juu. Mbowe hakupaswa kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm baada ya kosa la kumpokea fisadi Lowassa na kumpa nafasi adhimu, huku Lowassa akiwa haamini katika falsa za Cdm. Kama aliona aibu kujihudhulu kwa kosa lile, hakupaswa kugombea tena uenyekiti kipindi kilichopita. Anachofanya sasa Mbowe ni kuharibu hata mazuri aliyofanya.
- Nyerere
- Mugabe
- Moi
- Mobutu
- Gaddafi
- Hosni Mubarak
- Paul Biya
- Elbashir
Huyo jamaa anazo nadharia za kipekee sana, na huwezi kumwambia kitu chochote akakielewa.Ulichoandika hapa simply unamaanisha kiongozi akiwa madarakani chini ya miaka kumi hawezi kufanya makosa, ila atakapozidisha hiyo miaka ndio anaanza kukosea, kitu ambacho hakina mantiki kabisa, ni mawazo yako tu ya kufikirika.
Kiongozi anaweza kukosea muda wowote akiwa uongozini bila kujali miaka aliyohudumu, na kama hili kwako ni tatizo, basi watahitajika malaika washuke kutoka mbinguni ili waje kuongoza taasisi zetu, au kwako kiongozi kukosea akiwa na chini ya miaka kumi uongozini hilo sio kosa, kosa ni pale atakapokosea baada ya kuzidisha miaka kumi, hii nayo haina mantiki kabisa.
Hii hoja yako ya "miaka kumi" nikushauri uitafutie defence ya kueleweka, usitembee na mawazo yasiyoeleweka kichwani miaka na miaka kisha ujifiche kwenye kivuli cha "uhuru wa kutoa maoni"
Ulichoandika hapa simply unamaanisha kiongozi akiwa madarakani chini ya miaka kumi hawezi kufanya makosa, ila atakapozidisha hiyo miaka ndio anaanza kukosea, kitu ambacho hakina mantiki kabisa, ni mawazo yako tu ya kufikirika.
Kiongozi anaweza kukosea muda wowote akiwa uongozini bila kujali miaka aliyohudumu, na kama hili kwako ni tatizo, basi watahitajika malaika washuke kutoka mbinguni ili waje kuongoza taasisi zetu, au kwako kiongozi kukosea akiwa na chini ya miaka kumi uongozini hilo sio kosa, kosa ni pale atakapokosea baada ya kuzidisha miaka kumi, hii nayo haina mantiki kabisa.
Hii hoja yako ya "miaka kumi" nikushauri uitafutie defence ya kueleweka, usitembee na mawazo yasiyoeleweka kichwani miaka na miaka kisha ujifiche kwenye kivuli cha "uhuru wa kutoa maoni"
Mimi kutoamini unachoamini ww hilo sio kosa lako ni langu. Na siwajibiki popote kwenye kuamini unachoamini ww, kama ambavyo ww huwajibiki popote kwenye ninachoamini Mimi. Hapo kuna shida yoyote boss?Huyo jamaa anazo nadharia za kipekee sana, na huwezi kumwambia kitu chochote akakielewa.
Kwa mfano: kwa mujibu wake, sasa Tanzania hapawezi kutokea mabadiliko yoyote bila ya uwepo wa machafuko. Yeye anasubiri tu machafuko ndipo atambue kuwa mabadiliko yamepatikana.
Nimeipenda hiyo list hasa NyerereBila kujali lengo lako mleta Uzi, ukweli ni kuwa kiongozi mzuri wa kuchaguliwa ni yule asiyezidisha miaka 10 kwenye nafasi Moja. Iwapo atazidisha miaka 10 kwenye nafasi Moja hasa ya juu kabisa ya taasisi ama nchi, lazima ataanza kutawala kwa mizengwe, na ubora wake utazidi kushuka.
Mifano ya viongozi waliokaa madarakani zaidi ya miaka 10 na kuishia kuharibu ubora wao, ama kuishia kutawala kwa mabavu, mizengwe nk ni:
Hao wote hapo juu waliishia kutawala kwa mizengwe, mabavu ama ubora wao kushuka baada ya kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Mbowe ni sehemu ya hiyo list hapo juu. Mbowe hakupaswa kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm baada ya kosa la kumpokea fisadi Lowassa na kumpa nafasi adhimu, huku Lowassa akiwa haamini katika falsa za Cdm. Kama aliona aibu kujihudhulu kwa kosa lile, hakupaswa kugombea tena uenyekiti kipindi kilichopita. Anachofanya sasa Mbowe ni kuharibu hata mazuri aliyofanya.
- Nyerere
- Mugabe
- Moi
- Mobutu
- Gaddafi
- Hosni Mubarak
- Paul Biya
- Elbashir
Sijui huwa haelewi kwa bahati mbaya, au anajitoa akili makusudi ilimradi aonekane yuko tofauti, anachosahau kuwa tofauti na wengine lazima awe na logic, sio tu kuwa tofauti ilimradi ndio " uhuru wa kutoa maoni".Huyo jamaa anazo nadharia za kipekee sana, na huwezi kumwambia kitu chochote akakielewa.
Kwa mfano: kwa mujibu wake, sasa Tanzania hapawezi kutokea mabadiliko yoyote bila ya uwepo wa machafuko. Yeye anasubiri tu machafuko ndipo atambue kuwa mabadiliko yamepatikana.
Time limit kwenye uongozi pekee sio demokrasia, demokrasia ni pana ambapo inajumuisha; wagombea kufanya kampeni, kuwashindanisha wagombea kwenye uwazi, kura kuhesabiwa, na mwishowe matokeo kutangazwa, hakuna time limit pekee inayoamua ukomo wa uongozi popote.Time limit kwenye uongozi hiyo ndio demokrasia. Sizungumzii kufanya makosa maana unaweza kufanya makosa hata bila kuwa kiongozi. Ni nadra kuzidi miaka 10 ukabaki kwenye ubora wako. Hili sikulazimishi kulikubali maana Kila mtu ana utashi wake. Kuna tatizo kwenye hilo? Lakini muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umeshapita, na ukweli wa hilo uko wazi.
Hao viongozi nimetaja walikaa muda gani madarakani. Rejea ubora wao katika miaka kumi ya mwanzo, na miaka baada ya hapo. Sehemu nyingi tu zina time limit, na tunashuhudia zikifanya vizuri kuliko kuliko kufia kwenye kitu.Time limit kwenye uongozi pekee sio demokrasia, demokrasia ni pana ambapo inajumuisha; wagombea kufanya kampeni, kuwashindanisha wagombea kwenye uwazi, kura kuhesabiwa, na mwishowe matokeo kutangazwa, hakuna time limit pekee inayoamua ukomo wa uongozi popote.
- Ndio maana siku hizi wanasema; mwisho wa uchaguzi mmoja, ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine.
Zaidi, unaposema huzungumzii kufanya makosa, wakati nimeona kwenye main comment yako umeorodhesha majina ya viongozi waliofanya makosa na kudai mwishowe wakapoteza thamani ya uongozi wao, hapo ndipo nazidi kukuona usivyojua kipi unachosimamia, hebu tuliza kichwa jitafakari upya na hii biashara yako ya "miaka kumi" uliyokaririshwa sijui wapi ...
Shida ni kuwa na nadharia za kipekee sana, hayo mengine naweza kuyadadavua tu nikiyapa muda mahsusi.Mimi kutoamini unachoamini ww hilo sio kosa lako ni langu. Na siwajibiki popote kwenye kuamini unachoamini ww, kama ambavyo ww huwajibiki popote kwenye ninachoamini Mimi. Hapo kuna shida yoyote boss?
Hili la 'logic' naliwekea mkazo, pengine litamsaidia kutafakari.tofauti na wengine lazima awe na logic
Ndio maana nikakuuliza maswali kama unaamini ubora wa viongozi hupungua baada ya kuzidisha miaka kumi madarakani, nijibu.Hao viongozi nimetaja walikaa muda gani madarakani. Rejea ubora wao katika miaka kumi ya mwanzo, na miaka baada ya hapo. Sehemu nyingi tu zina time limit, na tunashuhudia zikifanya vizuri kuliko kuliko kufia kwenye kitu.
Hilo la time limit hasa miaka 10 sikulazimishi ww ulikubali, na hiyo ni haki yako na naiheshimu. Mimi Nina mifano inayonipa nguvu hiyo, na kwa kutetea mtazamo wangu nimeweka majina ya hao viongozi, wala sikulazimishi ww kukubali popote. Ufahamu hapa ni jukwaani Kila mtu ana mtazamo wake na sio Sheria natunga. Kama unaamini mtu kufia madaraka hiyo ni haki yako, na sina tatizo nayo kabisa. Hii ndio demokrasia ninayoamini, ww unaweza kuamini nyingine yoyote uitakayo. Kuna shida yoyote hapo?
Naunga mkono hoja,Makonda na Sabaya ni vijana wenye maamuzi magumu kuliko Mwenyekiti wao pamoja na katibu wake,Makonda awe mwenyekiti achukue nafasi ya Samia na Sabaya awe Katibu achukue nafasi ya Kinana ,halafu mwisho Mwenezi wao awe Msukuma au Kibajaji,hapo vipi?Kwanini nini usishauri mwenyekiti wa ccm awe makonda au sabaya? Chadema inakuhusu vipi?
Mkuu ni kosa kuwa na nadharia za kipekee? Ninawajibika kwa ninachoamini kwanza, kisha hicho unachoamini ww ni juu yangu kukiamimini ama la.Shida ni kuwa na nadharia za kipekee sana, hayo mengine naweza kuyadadavua tu nikiyapa muda mahsusi.
Ndio maana nikakuuliza maswali kama unaamini ubora wa viongozi hupungua baada ya kuzidisha miaka kumi madarakani, nijibu.
- Kwanini tunawatafuta viongozi wastaafu na kuwaomba ushauri kama unaamini ubora wao hupungua?
- Unawezs kumuomba ushauri mtu aliyechoka akili?
Hayo maswali mawili nimekuwekea hapo, simply kukuonesha vile ulivyo na mtazamo hasi, usioendana na uhalisia popote pale hapa duniani, huo mtazamo upo kwenye kichwa chako pekee, na hapa usilete kisingizio cha "tupo jukwaani" ili kutafuta justification ya upotofu unaouamini, ulio kinyume na uhalisia wa ulimwenguni kote.