Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliwaondoa mawakili wake 30 waliokuwa wakimtetea katika kesi ya uhaini inayomkabili mnamo Juni 16, 2025. [1, 2]Sijiu kama unaelewa mahana ya hukumu iliyotolewa mkuu.Hukumu inasema kua Lissu anayo haki ya kukutana na mawakili wake ila hukumu aijataja mawakili wake wa kesi hipi. Sasa kesi aliyonayo inayo subiri hukumu nikua Lissu akuwa na mawakili maana aliwatoa na kusema atajitetea mwenyewe. Swali,ni je,mawakili hao wanamwakilisha Lissu kwenye kesi hipi? KARIBU UNIELIMISHE
Ni upofu au ni nini?Alifungua shauri juu ya kesi hii hii,na akaeleza ananyimwa haki ya kuonana na mawakili wake hivyo atajitetea mwenyewe!Hiyo Haina maana Hana wakili,bado wako listed kama mawakili wake ndio maana hata sehemu ya kukaa pale mahakamani,bado walitengewa eneo lile like wanapokaa mawakili wa mshtakiwa!Lakini nyaraka nyingine,mawakili wake waliweza kuzipata kutoka mahakamani kwasababu mahakama inawatambua kama mawakili wake japo kwenye jukumu la kujitetea kalibeba mwenyewe!Mawakili wa Lissu waliendelea kufanya kazi ya kumsaidia kujitetea kwa kumuandalia dodoso mbali mbali kama reference ya hukumu mbalimbali!Sijiu kama unaelewa mahana ya hukumu iliyotolewa mkuu.Hukumu inasema kua Lissu anayo haki ya kukutana na mawakili wake ila hukumu aijataja mawakili wake wa kesi hipi. Sasa kesi aliyonayo inayo subiri hukumu nikua Lissu akuwa na mawakili maana aliwatoa na kusema atajitetea mwenyewe. Swali,ni je,mawakili hao wanamwakilisha Lissu kwenye kesi hipi? KARIBU UNIELIMISHE
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliwaondoa mawakili wake 30 waliokuwa wakimtetea katika kesi ya uhaini inayomkabili mnamo Juni 2025. Lissu alichukua uamuzi huo kwa sababu ya kutoridhishwa na kitendo cha mamlaka za gereza kuzuia mawakili hao kuongea naye kwa faragha. [1, 2]Ni upofu au ni nini?Alifungua shauri juu ya kesi hii hii,na akaeleza ananyimwa haki ya kuonana na mawakili wake hivyo atajitetea mwenyewe!Hiyo Haina maana Hana wakili,bado wako listed kama mawakili wake ndio maana hata sehemu ya kukaa pale mahakamani,bado walitengewa eneo lile like wanapokaa mawakili wa mshtakiwa!Lakini nyaraka nyingine,mawakili wake waliweza kuzipata kutoka mahakamani kwasababu mahakama inawatambua kama mawakili wake japo kwenye jukumu la kujitetea kalibeba mwenyewe!Mawakili wa Lissu waliendelea kufanya kazi ya kumsaidia kujitetea kwa kumuandalia dodoso mbali mbali kama reference ya hukumu mbalimbali!
Lakini hata kule gerezani,wana taarifa za mawakili wa Lissu!Ndio maana wakaendelea kupewa kipaumbele kumuona mara Moja moja japo kwa kuvunja Sheria ya faragha!
Ingekuwa sio mawakili wake,hata magereza ingeshatimua kitambo wasionekane kabisa maana sio mawakili wake!
Jiulize swali hili,hapo kabla wakati Lissu anatetewa na mawakili wake,magereza walivunja Sheria kusikiliza maongezi yake!Dhamira yao ndio hiyo Toka Mwanzo!Kwanini waseme utaratibu ni ule ule na kwamba wana Nia ya kukata rufaa?Kwanini wasiseme hatuwatambui kama mawakili wa Lissu?
Hapo Huoni kitu kweli?
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!
Siku ukiacha uchawa ndio utapata akili na uelewe.Zikipita siku tatu mtamuona tu atavamia masufuria ya ugali hapo ukonga yeye mwenyewe bila kulazimishwa.
Machawa hamkosi kuvamia threads ili mikono iende vinywani. Bure kabisa.Agome kula yule anashindilia Minyama huko ndani daily.
Huyo mfungwa wenu hataki kutoka huko ni kawaida yake kukimbia majukumu.
Kawakimbia wana Singida ubunge.
Mara mbili kawatoroka CCM
Na kwenda Belgium akatoswa ukimbizi,
Kamkimbia mkewe na Family.
Karudi Chandema katia moto kumtoa Mbowe kakimbia tena majukumu aliyoachiwa kama Mwenyekiti.
Nasasa huko magereza anaelekeza mgomo wa kula.
Ni mpumbavu tu ataamini ujinga huo,
Yule anapenda kuwepo huko sio uraiani
Kule anakula 5-7 meals daily.
Anapewa vip treatment na banana republic.
Analindwa 24/7 hata mkewe na familia hataki kumuona.
Anatengeneza taharuki aendelee kubaki hukohuko maisha.
Tatizo manyumbu hamumuelewi huyo mtu,mnamuona mkombozi ,msomi huyo mjinga kabisa wacha awapeleke shimoni
Umetaka nikutajie mmoja ya mawakili wake, mmoja ni Rugememeza Nshala, ukitaka mwingine nitakutajia. Hiyo automatic mawakili wanaondoka ukisema unajitetea unatumia sheria ipi? Lisu sio anajifanya anajua, bali ni kweli anazijua sheria zetu vyema. Ila yuko kwenye mahakama zisizo huru. Hakuondoa mawakili, bali alisema atajitetea mwenyewe. Kama kutegemea hao mawakili wengi, mbona Mbowe alikuwa nao, na bado ilibidi ajinyenyekeze na kutumika kisiasa ili kuachiwa?Acha kupotosha,ukishasema kua utajitetee mwenyewe na wala uhitaji mawakili ni automatically mawakili hao awatambuliki ata kwenye column wanaondolewa. Nikikuuliza kua ebu nitajie mawakili walioshiriki kwenye shauri la Lissu kuanzia wakati wa utetezi wake sijui kama utaweza kumtaja ata mmoja. Unajua ili linaweza kuumiza sana lakini shida ni Lissu kwamba yeye anafikiri ni mjuzi kuliko watu wote ,jambo ili sio zuri. Niliwai kumshauri kua anahitaji wakati mwingine awe msikivu kwa mawazo na watu wengine ila ni kaliba yake. LA KUONDOA MAWAKILI WOTE ALIKOSEA SANA,ATA AKINA HECHE ,RUPIA NA GOLUGWA ALITAKA KUWAKATAA.
Kwa sasa authorities hazina ustaarabu huo wa kuogopa hunger strikeHuwezi kuelewa,bado kijana mdogo!
A hunger strike is a non-violent method of protest where a person deliberately refuses to eat (and sometimes drink) for a prolonged period to force authorities or institutions to meet specific demands.
Acha mzaha yaani watu wasile.kwa sababu Kuna mtu Fulani kaamua Kwa utashi wake asile?My friends, ladies and gentlemen,
lile zoezi na ule uamuzi wa kiuwendawazimu, wa kuwaza, kuamua na kutenda mambo yanayo muathiri na kumdhuru mwendawazimu mwenyewe linaanza rasmi leo.
Kama tulivyo shuhudia huko nyuma wafuata mkumbo, watu wazima wenye heshima na familia kabisa, wakikubali kubebwa ufala wa kifikra na mtu moja tu kujivika muonekano wa kiuwendawazimu kwa kutibua, ni wazi wafuata mkumbo hao pia wanaweza kujitumbukiza katika tena kwenye mgomo usio na tija wala faida kwa afya na uhai wao kwa kugoma kunywa na kula chakula.
Red cross na mashirika mengine ya dharura wajiandae na huduma ya kwanza ya uji na ambulance za kutosha.
Ni wazi,
mgomo huu usio na faida yoyote kwa wahusika ni hatari zaidi kwa wenye changamoto za kiafya zilizijificha na zinazositiriwa kwa kula chakula. In fact, tunaweza kuanza kushuhudia baadhi ya wafuata mkumbo hao wakianza kudondoka hovyo hovyo mitaani katika maeneo mbalimbali nchini, huku wakisingizia changamoto za kiafya kumbe ni njaa na kiu kali imewapiga vilivyo.
Kuanzia leo,
tunakwenda kuwashuhudia watafuta attention na public sympathy wakiumbuka hadharani kwasababu ya kukubali kufuata mkumbo wa kufanya mambo ambayo yatawaathiri na kuwaumiza wenyewe kiafya, kimaisha na kiakili.
Je,
kundi la wenye changamoto ya afya ya akili linaongezeka zaidi nchini badala ya kupungua?π
Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu lete Uzi Brazil π§π· Lula kalejea kwenye Uhongozi mpinzani chinii BBC kimyaaaa leteni uziAcha mzaha yaani watu wasile.kwa sababu Kuna mtu Fulani kaamua Kwa utashi wake asile?
Mimi namuunga mkono Lula sio shabiki wa Bolsonaro.Mkuu lete Uzi Brazil π§π· Lula kalejea kwenye Uhongozi mpinzani chinii BBC kimyaaaa leteni uzi
Gentleman,Acha mzaha yaani watu wasile.kwa sababu Kuna mtu Fulani kaamua Kwa utashi wake asile?