bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
sawa kwahiyo sasa muchukue tahadhari munapotoa maoni yenu..kinachotafutwa ni wakosoaji wote wa mkataba wa Dp wafunguliwe kesi na wafungwe.
..Ccm hawajishughulishi tena kujibu hoja kwenye majukwaa mbalimbali
Hui Hui tu kuyanena hayaMtu auze nchi halafu unataka achekewe chekewe?
Wewe mleta mada unaongea kitu gani?
Rais alitumia neno stupid!
Mbona hujaja hapa kumuanzishia mada?
Tunataka upinzani imara kama wa USA na Kenya raisi anapigwa spana aswaa[emoji16]Lisu amekosea, kwa mtu alie na akili timamu huwezi fanya alichofanya hapa. Hata kama ni mtanzania wa kawaida huwezi sema alichoongea ni matope. Kulikuwa na ubaya gani angeitwa na kutoa maoni yake kama Raisi alivyo sema. Upinzani wa aina hii ndo unaoirudisha hii nchi nyuma. Leo hii kwa aina hii ya kuropoka hata kama anamchango kwa Taifa kwenye masuala ya Sheria bado hataweza kuutoa kwani anaonyesha hayupo tayari.
Kukosoa kuwe na mipaka pamoja na staha. Amemvunjia Raisi heshima kwa kiwango kikubwa sana.
Ameshaitwa central tayari anatakiwa akaripoti tarehe 20 Mwezi huu bila kukosa!!Mkuu mbona wewe unaandika vizuri na tunaelewa!! Lakini huyu jamaa anamwita Rais ni akili au matope?? Sidhani hata kama familia yake inakubaliana kwenye hili
Ninachokiona hapa ni huyu anayehoji "afya ya akili ya Tundu Lissu kama iko sawa." Kuwa pengine ya kwake ndiyo yenye matatizo.Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.
Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
Aiseee!Samia alijiona mwema mbele ya chizi. Haya ni malipo sahihi ya wema wake. Mnafiki hula unafiki wake. Atukanwe tu.
Kwanza hakuna nchi iliyouzwa bali kuna mkataba wenye vipengere vya HOVYO. Kwa binadamu mwenye akili sawa ambaye ametendewa MEMA na Samia kama alivyotendewa Lissu angechagua lugha ya kutumia.
Matope ya Ikulu "Presidential Rubbish".Nimezima huko nje wasije kusema ni Mamndenyi anaongea
Context matters. Context ya ukosoaji kwa wakati huu ni Mkataba wa DP World. Rais anasema mmesikia wanatukosoa huku, kule kila mahali. Yeyote anayesikia ukosoaji anaelewa DP World inahusika.Hizi ndio sababu japo ‘oral agreements’ zina nguvu za kisheria lakini ni ngumu kuthibitisha mahakamani.
‘A’ anaweza kuongelea mto, ‘B’ akatafsiri maporomoko.
Raisi alikuwa anaongelea kuweka critics kama sehemu ya civil servants (full-time employees) kwenye wizara ya mipango wasaidie kwenye maswala ya kuandaa na kushauri government policy strategies maana kuna mijitu kazi yao kukosoa tu.
Hakuna sehemu kazungumzia maswala ya tume inayohusu mambo ya bandari. Mpaka mtu unashangaa ukisoma tafsiri za mitandaoni, jamani si ata context yenyewe ilikuwa kuhusu wizara mpya akasema kabisa na jina Mafuru lifanyie kazi hilo ndani ya wizara na ukiona watu sahihi peleka majina wafanyiwe vetting.
Sasa sijui wengine wametoa wapi tafsiri zao. Mtu unabaki unajiuliza shida ni lack of ‘listening skills’ au ‘upotoshaji’ ni tatizo kiasi kikubwa hivyo; on this one I think it’s the former.
Tanzania kuna watu wengi sana wana ‘bias listening’ mizizi yake ni permeated social culture ya majungu, wivu na jamii ya watu waongo waongo; mpaka imekuwa tabia inayokubalika ndani ya jamii.
Kwani Samia kumtembelea Lissu Nairobi na Brussels ndiyo kunafanya kauli ya rais isiyo na mantiki iwe na mantiki?Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-
(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:
(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.
Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
View attachment 2692011
Kwenye Kiswahili hakuna neno "fadhira" bali kuna "fadhila".Ninachokiona hapa ni huyu anayehoji "afya ya akili ya Tundu Lissu kama iko sawa." Kuwa pengine ya kwake ndiyo yenye matatizo.
Sababu ya kuhoji hivyo ni haya aliyoweka hapa kuyaweka kuwa kama fadhira alizofanyiwa Lissu, ambazo zinatakiwa zimfunge akili yake asifikiri vinginevyo kwa huyo aliyemfanyia fadhira.
Hii siyo akili unayoweza kusema ni akili isiyokuwa na matatizo
Lissu hakupewa fadhira kwa kutembelewa na watu hao hao waliotaka kumwondoa duniani. haya ya mafao yake, ni haki yake, na siyo msaada aliopewa kana kwamba hakustahiri kupewa.
Sasa swali la kujiuliza hapa, haya yalifanyika ikiwa kama rushwa aliyopewa Lissu asitoe mawazo yake juu ya haya yanayoendelea sasa hivi?
Huu mtindo wa uongozi wa kupuliza puliza na kupoza, huku kuumiza kukiendelea chinichini, eti watu wasiseme; unadhani watu bado hawajaungundua ujuha huo?
Mbowe na CHADEMA walishaingizwa huko, sasa wametambua kwamba kumbe ni hadaa na kiini macho.
Acha Tundu Lissu aseme kwa njia yoyote itakayowasilisha ujumbe halisi.
Mbona wewe unakosoa kwa lugha ya staha japo waitwa "kiranga" ni hilo tuKwani Samia kumtembelea Lissu Nairobi na Brussels ndiyo kunafanya kauli ya rais isiyo na mantiki iwe na mantiki?
This logical fallacy is called logical non sequitur.
kwa hiyo unataka kusemaje hapa, au ndiyo matope yenyewe na wewe unazidi kuyaleta.Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
Nasimama palepale, binadamu mwenye afya nzuri ya akili asingeweza kutoa matamko kama ya Lissu. Wasikilize akina Warioba, Tubaijuka, Prof Shivji nk.N
Kamtendea mema gani?.
Kwamba kaenda hospitali kumuoba hiyo ndo iwe tiketi ya kunyamaziwa akifanya mambo ya hovyo katika nchi? - Nonsense.
Kwanza Samia si ndo alimkebehi Lissu kuwa Askari wa bongo hawakosei target?. Wewe unajua hiyo kauli inauma kiasi gani kwa mhanga kama yule?
Acha apewe maneno yanayomstahili, tumechekeana kiasi cha kutosha ndiyo maana wanauza nchi.
Hizi ndizo lugha zinazostahili madalali wote wa kuuza nchi yetu.
Uchafu ni uchafu na matope ni matope tu hata kama yatatoka kwa baba yako mzazi, tunasemaje...? matope ni matope hat yakitoka kwa mkuu wa nchi, Lissu upo sahihi babaa !!.Mnamjaza ujinga Lissu naye anajaa na kujiona shujaa. Ila aliyepinda miguu na kujaa vyuma nwilini ni yeye
Nikurekebishe kidogo,hakumlipa stahiki zake kama fadhila,bali walilipa stahiki ambazo serikali ilitaka kupora na kuiba,Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-
(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:
(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.
Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
View attachment 2692011
Sioni ubaya wowote aliouzungumza Lissu hapo. Alichokisema ndio ukweli wenyeweNina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-