Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

issuesiyo kusema ukweli shida iko kwem=nye matusi aliyotukana hivi kweli mtu akuambie matope kichwani yaani amekudharau sana huyu anahitaji akachunguzwe na kichwani pengine ubongo umegeukia sehemu isiyo yake
Acheni hisia kwani matope ni tusi?
 
Oooh nchi inaelekea kubaya. Nashauri tuwe wamoja na ikimpendeza Mhe. Rais Mkataba huu ufutwe na tuanze upya kwa kufuata taratibu zote.
 
inakera sana mtu unamshauri kabla mambo hayaja haribika anapuuza halafu

yameshaanza kuharibika mnaona ndio ana point asikilizwe aitwe,huo mimi nitaendelea

kukazia kuwa ni matope,pumba na mtori usiofaa kunyweka (japo sina mwanasheria) ila nasisitiza hayo ni matope.

Hukuona point zangu mwanzo saiz ndio uje uzione,matope Halafu kuna jina moja eti linasema mbali na Rais huyu pia n MAMA.

shenziii mama imekujaje hapa,tunaongelea mambo ya taifa unaleta umama na ubaba na ujomba hapa,mnafki mkubwa.
 
issuesiyo kusema ukweli shida iko kwem=nye matusi aliyotukana hivi kweli mtu akuambie matope kichwani yaani amekudharau sana huyu anahitaji akachunguzwe na kichwani pengine ubongo umegeukia sehemu isiyo yake

Inawezekana kwenye ubongo wake kuna masalia ya RISASI.
 
Umesema vema kuwa zilikuwa stahiki zake.

Sasa kosa liko wapi mtu kulipwa lkn akaendelea kutetea uzalendo,rasilimali za Tanganyika?
Kwani alihongwa ili hasihoji?
 
Kabla ya lisu kusema tulisema yale ni MASHUDU ya raisi na ifike mahali tukubali huyu mama akili yake inatosha tu kuvukia barabara , na anaaibisha mpaka Taasi ya urasi halafu nguvu kubwa inatumika kupinguza Madhaifu yake
 
Hata mimi nimelizima! Hili jamaa ndilo linataka liwe Rais? Kiufupi Lissu ni punguani aliyesoma! Litakuwa lina malezi mabaya! Hata kama Rais amekosea huwezi kutukana kiasi hicho bwana! Wakilimiminia zingine sitashangaa!
Atamiminiwa mama yako
 
Katukana cheo sasa huyu Rais sijui rais wa wapi labda kusema matope ya Ikulu ila sio kosa vibaya kusema ikul ni matape
 
You are quite right, hawakumwelewa alikuwa anaongelea thimktanks. Ilitokana na wushful thinking: waliomba aseme hivyo lakini kakesema hivyo kwa hiyo wameswali swala na kuijibu wao wenyewe.
 
Matope ni kauli kali?na wala sio tusi punguzeni hisia mtamuelewa TL
Risasi 16 ziliathiri ubongo wa Tundu Lissu. Narudia kusema kuwa alikuwa na njia nyingi za kufikisha ujumbe kwa Rais bila kutumia lugha ya kifedhuli
 
Umesema vema kuwa zilikuwa stahiki zake.


Sasa kosa liko wapi mtu kulipwa lkn akaendelea kutetea uzalendo,rasilimali za Tanganyika?
Kwani alihongwa ili hasihoji?
Tunakubali kuhoji lakini siyo kwa lugha ile ya kifedhuli. Sisi wenyewe wananchi ndiyo tunawaharibu viongozi wetu hadi wanaamua kubana uhuru wa maoni
 
Risasi 16 ziliathiri ubongo wa Tundu Lissu. Narudia kusema kuwa alikuwa na njia nyingi za kufikisha ujumbe kwa Rais bila kutumia lugha ya kifedhuli

..mkataba wa Tz na Dp sio wa kifedhuli?

..kama sio wa kifedhuli kwanini serikali imelazimika kupeleka mswada wa kubadilisha sheria zetu ili kuwezesha mkataba na Dp kutekelezeka?

..Je, walioandaa na waliopitisha mkataba wa kifedhuli wanastahili kuitwa jina gani na wananchi?

..Je, hawastahili lawama na kukosolewa kwa mkataba walioingia?

..Je, walioingia mkataba mbovu wana haki ya kuwapangia wananchi kauli na namna ya kuukosoa mkataba mbovu na wakifedhuli walioingia?
 
Watu wanajadili maslahi ya Tanganyika kwa huruma ya kuwa aliyeuza nchi ni mwanamke au mama.
That is absurd!!
Na upumbafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…