FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Cc Kassim Majaliwa
Cc Kassim Majaliwa
Rubbish
Nawashauri mkasome post#35
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc Kassim Majaliwa
Cc Kassim Majaliwa
Rubbish
Ugonjwa wake hauna dawaSasa umechukua hatua gani kumponya? Maoni yetu hayatakusaidia kitu kwani tayari umehitimisha mjadala.
Hujatumia dawa, ka hiyo gonjwa lipo palepale, kama inavyoonekana hapa.Kwenye Kiswahili hakuna neno "fadhira" bali kuna "fadhila".
Mwenye afya ya akili hawezi kuongea vile
Acheni hisia kwani matope ni tusi?issuesiyo kusema ukweli shida iko kwem=nye matusi aliyotukana hivi kweli mtu akuambie matope kichwani yaani amekudharau sana huyu anahitaji akachunguzwe na kichwani pengine ubongo umegeukia sehemu isiyo yake
issuesiyo kusema ukweli shida iko kwem=nye matusi aliyotukana hivi kweli mtu akuambie matope kichwani yaani amekudharau sana huyu anahitaji akachunguzwe na kichwani pengine ubongo umegeukia sehemu isiyo yake
Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-
(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:
(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine, fungueni kesi dhidi ya Mkataba wa DP World
Sikiliza hii clip ya dakika 5 halafu tathmini kama afya ya akili ya Tundu Lissu iko sawa. Kumbuka Rais Samia akiwa Makamu ndiyo kiongozi pekee wa nafasi ya juu aliyemtembelea kumuona Tundu Lissu akiwa Nairobi hospital.
Kisha akamtembelea Brussels baada ya kuwa Rais. Na akamlipa stahiki ambazo chini ya Magufuli asingeweza kupata. Akamfutia na kesi zake 2 mahakama ya Kisutu
View attachment 2692011
Kabla ya lisu kusema tulisema yale ni MASHUDU ya raisi na ifike mahali tukubali huyu mama akili yake inatosha tu kuvukia barabara , na anaaibisha mpaka Taasi ya urasi halafu nguvu kubwa inatumika kupinguza Madhaifu yakeLisu amekosea, kwa mtu alie na akili timamu huwezi fanya alichofanya hapa. Hata kama ni mtanzania wa kawaida huwezi sema alichoongea ni matope. Kulikuwa na ubaya gani angeitwa na kutoa maoni yake kama Raisi alivyo sema. Upinzani wa aina hii ndo unaoirudisha hii nchi nyuma. Leo hii kwa aina hii ya kuropoka hata kama anamchango kwa Taifa kwenye masuala ya Sheria bado hataweza kuutoa kwani anaonyesha hayupo tayari.
Kukosoa kuwe na mipaka pamoja na staha. Amemvunjia Raisi heshima kwa kiwango kikubwa sana.
Atamiminiwa mama yakoHata mimi nimelizima! Hili jamaa ndilo linataka liwe Rais? Kiufupi Lissu ni punguani aliyesoma! Litakuwa lina malezi mabaya! Hata kama Rais amekosea huwezi kutukana kiasi hicho bwana! Wakilimiminia zingine sitashangaa!
You are quite right, hawakumwelewa alikuwa anaongelea thimktanks. Ilitokana na wushful thinking: waliomba aseme hivyo lakini kakesema hivyo kwa hiyo wameswali swala na kuijibu wao wenyewe.Mh. Rais wakati anawapisha waziri na watendaji wa juu wa wizara ya uchumi, mipango, na uwekezaji liitoa maono yake anavyotaka tume ya mipango ifanye kazi; akashauri watendaji wasiogope kuchukua watu kutoka nje serikalini hata wale wanaopinga namna serikali inavyopanga na kutekeleza mipango yake ya uchumi.
Wale wa kusikia bila kusikiliza wakalibeba kana kwamba Rais Samia amesema wale wanapinga makubaliano ya bandari waite kwenye tume ya mipango- na Mh. Lissu akauita ushauri wa rais , matope au presidential rubbish.
View attachment 2692925
Mh. Lissu is sick and seriously sick
Yaani kesi nyepesi sana hiii. Tope sio tusi na haitokuja kuwa tusi CCM wajinga sana.Acheni hisia kwani matope ni tusi?
Risasi 16 ziliathiri ubongo wa Tundu Lissu. Narudia kusema kuwa alikuwa na njia nyingi za kufikisha ujumbe kwa Rais bila kutumia lugha ya kifedhuliMatope ni kauli kali?na wala sio tusi punguzeni hisia mtamuelewa TL
Acha maneni ya KashifaSamia alijiona mwema mbele ya chizi. Haya ni malipo sahihi ya wema wake. Mnafiki hula unafiki wake. Atukanwe tu.
Tunakubali kuhoji lakini siyo kwa lugha ile ya kifedhuli. Sisi wenyewe wananchi ndiyo tunawaharibu viongozi wetu hadi wanaamua kubana uhuru wa maoniUmesema vema kuwa zilikuwa stahiki zake.
Sasa kosa liko wapi mtu kulipwa lkn akaendelea kutetea uzalendo,rasilimali za Tanganyika?
Kwani alihongwa ili hasihoji?
Risasi 16 ziliathiri ubongo wa Tundu Lissu. Narudia kusema kuwa alikuwa na njia nyingi za kufikisha ujumbe kwa Rais bila kutumia lugha ya kifedhuli