PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbinu ya ovyo kabisa
 
Niandamane nikazuie uchaguzi kisa tu CHADEMA ishinde ni ufala wa kiwango Cha juu sana.Kwa upande wangu Mimi na familia yangu ushenzi huo hatuufanyi
 
Old stone age syndrome, acha kuwaibia watu,Hivi Lissu ulitokea Ulaya ukashindana na Mwenye Nchi Mjomba Magu,akakupiga chini vibaya sana,kwa CV yake ilikuwa Platinum yako ilikuwa sulphur, lakini baada yakunyukwa ulichofanya ukakimbilia nchi iliouwa wakongomani million 15,
Mbeligigi anapenda mwafrika awe huru kweli?
 
Huu ni uchokozi wa waziwazi. Niliunga mkono TAL kumpokea Mbowe uenyekiti wa chama ila sasa anapoteza uelekeo. CDM haijawahi kufanikisha maandamano ya maana siku za kawaida iwe siku ya uchaguzi?
 
Kwani kuna sheria gani inaruhusu kuua wagombea wa upinzani au kuwateka na kuwajeruhi?
 
Huu ni uchokozi wa waziwazi. Niliunga mkono TAL kumpokea Mbowe uenyekiti wa chama ila sasa anapoteza uelekeo. CDM haijawahi kufanikisha maandamano ya maana siku za kawaida iwe siku ya uchaguzi?
Utakuwa hujielewi.
 
Msituletee uzushi wa kitoto hao mawakala wenu nnaoweka kwenye vituo huwa na kazi gani?
Wakati huwa mnawatishia na mapolisi wenu,au umekuja Tanzania leo,unakumbuka kilichotokea jimbo la kawe
 
Yaani cha Moto kitawaka mitaani,ndiko kwenye wanachama wengi wa Chadema,ukitaka kupiga kura, kapigie kituo cha polisi
Mitaa ipi hiyo kuna wanachama wengi wa Chadema?? Uchaguzi wa mwaka jana ulikuwepo TZ au uko nje ya TZ mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…