Lissu ukirudi Tanzania zingatia hili, kumkashifu Baba wa Taifa ni off limits

kwani yeyealikuwa Mungu?aliishatuingiza kwenye mkenge wa Muungano mpaka leo hii unatutafuna.mimi mi muumini wa oscar kambona ambaye aliona mbali na si JKN ambaye alipenda madaraka zaidi kuliko maslahi ya watz.
 
Wakoloni waliikuta nchi inaitwa Tanganyika? Ahahaha

Nani alikuwa kiongozi wake?

Kujali ukatae, nchi za Afrika, 99% ziliundwa na Wakoloni, wao ndio walioamua majina na mipaka yake, walioamua mpaka lugha za kutumia serikalini

Walichikuta Wakoloni Ni makabila tu, ambayo naweza kukubaliana na wewe kuwa hayo makabila yalikuwa nchi au tawala ambazo zilikuwa na mamlaka kamili na uogozi inayoeleweka kuanzia juu mpaka Chini, jeshi na kila kitu, mpaka taasisi za Kukusanya ushuru/ Kodi pamoja na lugha yao

Yaan Ni Kama ilivyo, Wafasansa, Waingereza, Wahindi, Wahispania, tofauti Ni ukubwa wa eneo la utawala tu, yaan mfano Wahehe walikuwa nchi kamili ndani ya Iringa na sio yote maana kilikuwa na nchi nyingine iliyokuwa inatawaliwa na Wabena na ya Wakinga pia, hivyo hivyo kwa Wasukuma, Wachagga, Wanyamwezi, nk hayo yalikuwa mataifa/ Nchi kamili

Lakin haya tunayoita Mataifa/Nchi kwa sasa, waasisi wake Ni Wakoloni
 
Ulivyo na kutu kichwani hujui hata mada inasemaje.
Soma tena au kama hujui kusoma tafuta mtu akusomee na akueleze tofafauti kati ya kukashifu na kukosoa.
Leta huo ushahid wa kukashifiwa Nyerere

Tatizo la watu wajinga Kama wewe mnadhan kuna kukosoa kwa kusifia, wenyewe wajinga mnasema kukosoa kwa staha, wajinga kweli nyie

Nyerere hakuwa Mungu na itabaki hivyo milele, atakosolewa milele

Hoja eti alikashifiwa kwa kukosolewa itabaki kwenu nyie punguani milele
 
Alipomtishia JPM wale wasomba mchanga wataishtaki Tz, kinyume chake JPM aliwashinda kwa hoja, uanasheria wa Lissu umekaaje? Njoo utulie na ufunge mdomo.
 
Mwalimu Nyerere hakuwa mbaguzi,hakubaguwa wazungu,wahindi,waarabu,wqchina,waafrika,aliwasaidia wapalestina,aliwasaidia nchi mbali.mbali za kiafrika kujikomboa.
 
Kusema mabaya au makosa ya mtu siyo kumkashifu.
Na sio kila mwenye kusema makosa ya mtu anakosoa, mfano kuna watu toka kuingia kwa awamu hii ya Samia hatuwaoni tena kueleza makosa(kukosoa) wako kimya tofauti na awamu iliyopita ambapo walisema makosa makubwa na madogo.

Wabongo kukosoa kwao kuna maana ya kuponda,kumchafua mtu. Ndio maana kuna watu wameacha kukosoa awamu hii na wengine hawawezi kukubali kuona huyo Lissu akikosolewa(kupondwa).
 
Mipumbavu mko wengi, soma kichwa cha habari tena na tena.
Nimeandika kukashifu!
 
Kwenda shule ni jambo moja, KUELIMIKA ni jambo lingine.
 
Kwenda shule ni jambo moja, KUELIMIKA ni jambo lingine.
Na wanaojiita learned brothers wanatukana hovyo utafikiri midomo haina breki.
Wanatokea wajinga wasiosoma na kuwamiminia shaba, na waliosoma wanakimbia hadi visogo vinagusa unyayo.
Halafu mpumbavu unasema umesoma.
 
Hata wakati huo hakukuwa na sababu za msingi zenye manufaa kufuta vyama vingi au kuweka katiba inayomfanya Rais kama mfalme.
 
Wasukuma mmenuna balaa
 

Labda hujui tu, kuna kipindi akawa anamshutumu Mwl. kuwa alikuwa akiishi maisha ya ujanja ujanja na kuwahadaa waTanzania.
 
Acha kumtisha bwege wewe
 
Aisee!!

Ina maana Jidu La Mabambasi uwezo wako wa kufikiri na kujenga hoja shibishi ndo umeshuka na kuwa hovyo kiasi hiki?

Hii propaganda ni ya kiwango Cha chini sana bro Kwa ninavyokufahamu unless account yako labda imekuwa hacked.

Kama ni wewe huyohuyo, basi unaelekea kurudi ujingani. Amka Kisha toroka urudi kwako!

Yaani uoneshwe Kijiji chochote ambacho Tundu Lissu amekiletea maendeleo!!!!???? How exactly maana hajawahi kupewa serikali yenye mapato ili ahudumie watu?

Ila Kwa kutumia taaluma yake ya sheria, ametoa ujinga watu wengi sana nikiwemo Mimi. Na ukienda jimboni kwake aliloliongoza Kwa miaka 10, watu kule wanajimbua na kuelewa wajibu na haki zao balaa. Huwezi kuwaonea burebure. Yote hiyo ni kazi ya Tundu Lissu

Na umeulizwa na wengi hapa ulete sample tu ya kashfa na matusi ya Tundu Lissu Kwa hayati Nyerere, lakini hujafanya hivyo badala yake unazunguka zunguka tu kama mlevi wa chang'aa na mnazi.

Una tatizo Gani kwani na Tundu wewe??
 
Usiwe kubwa jinga.
Siyo lazima utumie hela za watu, kwa maana ya kodi, ndio ulete maendeleo, hayo ni mawazo ya mtu ambaye potentially ni mwizi.

USHAWISHI...ushawishi.......ushawishi!
Kuna mwanasiasa nafikiri ni huko Singida, aliwahi hamasisha wananchi kujenga mtaro wa kupeleka maji viji kadhaa, mtaro huo uliitwa Ntomoko.
Aliokoa mamilioni.
Mkiwa makinda hamuwezi kufahamu hilo.

Mtu anayekazania madaraka bila kuwa na track record ya maendeleo kama vile mawazo yako, ni mwizi tu.
 
Unajua huu mjadala umeanzia wapi au umedandia gari kwa mbele tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…