Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Siasa ni sayansi. Tulia wewe!Kweli Rais ana madaraka makubwa. Kwa hiyo anacreate ajira special kwa hawa wazee wawili. Halafu Samia yupo addicted na mitandao. Anasoma sana mitandao. Lukuvi atakuwa mshauri wa Rais ama?Kabudi tumeambiwa anaongonza majadiliano ya mikataba. Stupid.Wakifa na kaburini awafuate. Maana as if bila wao nchi haiendi. Stupid
Sio kweli, Makamu wake sio mtu goigoi.Una shangaa nini, Chief Hagaya hajawahi kuwa na mapenzi na Lukuvi, na hataki watu smart na wenye misimamo....yeye wake ni magoi goi wa ndio mzee (sawa mama)
Hapo katufanya wote vitoto. Hawa jamaa hata kwenye cabinet hawataruhusiwa kunusa pua zao. Mkataba ukiwa mbovu wanaowajibika ni PM na mawaziri na mwanasheria mkuu! Hawa jamaa wapi watawajibika kikatiba? Mwambiweni Lukuvi ni mbunge wa Wanging'ombe na Kabudi ni mbunge wa Moro hayo mengine wanadanganywa kama watakubali.Hapa inabidi Mama ashauriwe vizuri na mwanasheria mkuu on the way forward, kwasababu hao ni wabunge kutoka mhimili mwingine hawawezi kuwa watendaji wa serikali isipokuwa kupitia title ya mawaziri, ambayo imeainishwa kikatiba kuwa lazima wawe wabunge.sasa bila kuwa mawaziri watachezaje double role? kwa mihimili tofauti? Amewapa heshima ila kusijetokea mgogoro wa kikatiba, na pia isije ikaingiliana na role ya PM etc.
Punguza hasira mkuu, zamu yako itafika ni swala la muda tu.Kweli Rais ana madaraka makubwa. Kwa hiyo anacreate ajira special kwa hawa wazee wawili. Halafu Samia yupo addicted na mitandao. Anasoma sana mitandao. Lukuvi atakuwa mshauri wa Rais ama?Kabudi tumeambiwa anaongonza majadiliano ya mikataba. Stupid.Wakifa na kaburini awafuate. Maana as if bila wao nchi haiendi. Stupid
taratib mkuu yanKweli Rais ana madaraka makubwa. Kwa hiyo anacreate ajira special kwa hawa wazee wawili. Halafu Samia yupo addicted na mitandao. Anasoma sana mitandao. Lukuvi atakuwa mshauri wa Rais ama?Kabudi tumeambiwa anaongonza majadiliano ya mikataba. Stupid.Wakifa na kaburini awafuate. Maana as if bila wao nchi haiendi. Stupid
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]siasa ngumuKwahio hii ni Kazi Mpya au ?
Wanajitolea au ni Matumizi mengine ya fedha zetu ?
Kwahio kama amewatoa sababu ya umri na wanafaa sana kwa ushauri, wale aliowatoa ili waende wakafanye matayarisho 2025 / hawaendani na kasi yake ni kina nani ?
Mboni zao zisiguswe ili waweze kulitumikia taifa kwa juhudi zao zote.....
Kwahio wakatae ?Hakuna kitu kama hiyo. Yani wamedanganywa kama vitoto wakati hivyo vyeo walivyopewa havipo kikatiba. Ha ha ha ha si angewateua tu mawaziri katika ofisi ya Rais ambao hawana wizara? Mwambieni akalete chai nyingine hii hapana!
Hawajashuka,kukwea wala kupanda.Ngoja waisaidie nchi zaidi.Chanzo Cha taarifa yako?