Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali
Kweli Rais ana madaraka makubwa. Kwa hiyo anacreate ajira special kwa hawa wazee wawili. Halafu Samia yupo addicted na mitandao. Anasoma sana mitandao. Lukuvi atakuwa mshauri wa Rais ama?Kabudi tumeambiwa anaongonza majadiliano ya mikataba. Stupid.Wakifa na kaburini awafuate. Maana as if bila wao nchi haiendi. Stupid
Siasa ni sayansi. Tulia wewe!

Mama amekomaa haswaaaaaa.

Hawa ndio wamemalizwa, genge Lao na dhamira yao ya uspika imepigwa pini kiaina na Mheshimiwa Mama yetu kipenzi.
 
Hapa inabidi Mama ashauriwe vizuri na mwanasheria mkuu on the way forward, kwasababu hao ni wabunge kutoka mhimili mwingine hawawezi kuwa watendaji wa serikali isipokuwa kupitia title ya mawaziri, ambayo imeainishwa kikatiba kuwa lazima wawe wabunge.sasa bila kuwa mawaziri watachezaje double role? kwa mihimili tofauti? Amewapa heshima ila kusijetokea mgogoro wa kikatiba, na pia isije ikaingiliana na role ya PM etc.
 
Hakuna kitu kama hiyo. Yani wamedanganywa kama vitoto wakati hivyo vyeo walivyopewa havipo kikatiba. Ha ha ha ha si angewateua tu mawaziri katika ofisi ya Rais ambao hawana wizara? Mwambieni akalete chai nyingine hii hapana!
 
Hapo katufanya wote vitoto. Hawa jamaa hata kwenye cabinet hawataruhusiwa kunusa pua zao. Mkataba ukiwa mbovu wanaowajibika ni PM na mawaziri na mwanasheria mkuu! Hawa jamaa wapi watawajibika kikatiba? Mwambiweni Lukuvi ni mbunge wa Wanging'ombe na Kabudi ni mbunge wa Moro hayo mengine wanadanganywa kama watakubali.
 
Nilisikia akisema wale atawatoa wakapambane mbele akawatoa kweli, leo tena wanavutwa ikulu. Watakuwa wanarepot wapi?
 
Kweli Rais ana madaraka makubwa. Kwa hiyo anacreate ajira special kwa hawa wazee wawili. Halafu Samia yupo addicted na mitandao. Anasoma sana mitandao. Lukuvi atakuwa mshauri wa Rais ama?Kabudi tumeambiwa anaongonza majadiliano ya mikataba. Stupid.Wakifa na kaburini awafuate. Maana as if bila wao nchi haiendi. Stupid
Punguza hasira mkuu, zamu yako itafika ni swala la muda tu.
 
Kweli Rais ana madaraka makubwa. Kwa hiyo anacreate ajira special kwa hawa wazee wawili. Halafu Samia yupo addicted na mitandao. Anasoma sana mitandao. Lukuvi atakuwa mshauri wa Rais ama?Kabudi tumeambiwa anaongonza majadiliano ya mikataba. Stupid.Wakifa na kaburini awafuate. Maana as if bila wao nchi haiendi. Stupid
taratib mkuu yan
 
Mtangulizi wake alimtoa Kabudi wizara ya sheria na kumpeleka na mambo ya nje; baada ya hapo akaunda team ya kupitia case zote za madai ya kimkataba ofisi ya mwanasheria mkuu na kuangalia mikataba yote serikali itakayoingia. Maana yake nini Kabudi si lolote kwenye mikataba.

Team iliweza maliza case kadhaa za madai nyuma ya pazia na kuanza kuangalia mikataba serikali inayoingia kuhakikisha ina tija.

Ni ujinga wa hali ya juu kudhani kila mwenye shahada ya sheria anaweza kuangalia mkataba wa kibiashara ambao for the most financial agreements. This is why people specialise in business law and are paid large sums by corporates.

Huyu mama ni shida I tell you; usibadili utaratibu ulioukuta unatuharibia nchi.
 
Kwahio hii ni Kazi Mpya au ?

Wanajitolea au ni Matumizi mengine ya fedha zetu ?

Kwahio kama amewatoa sababu ya umri na wanafaa sana kwa ushauri, wale aliowatoa ili waende wakafanye matayarisho 2025 / hawaendani na kasi yake ni kina nani ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]siasa ngumu
 
....
1641807451474.png
Mboni zao zisiguswe ili waweze kulitumikia taifa kwa juhudi zao zote.
 
Najiuliza tu,
=> wakiwa bungeni wataulizwa maswali kama mawaziri, wakurugenzi, ama viongozi maalumu ofisi ya Raisi?
=> katiba inaruhusu teuzi kama hizo?
=> Je, upekee huo ni kwamba WAMEINULIWA JUU SANA ama WAMEPOLOMOSHWA?
 
Hakuna kitu kama hiyo. Yani wamedanganywa kama vitoto wakati hivyo vyeo walivyopewa havipo kikatiba. Ha ha ha ha si angewateua tu mawaziri katika ofisi ya Rais ambao hawana wizara? Mwambieni akalete chai nyingine hii hapana!
Kwahio wakatae ?

Kuna mambo mengine hauna choice (na kwenye hizi issue za kuteuliwa na mtu ni moja ya mambo hayo)
 
Una waondoa kwenye kinyanganyiro cha uspika maana wamechukua form
 
Back
Top Bottom