Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
1595757490266.png
 
MSEMAJI WA FAMILIA: RAIS MKAPA AMEFARIKI KWA MSHTUKO WA MOYO

William Erio amesema Rais Mkapa alikuwa hajisikii vizuri Jumatano na alikutwa na Malaria, akalazwa

Alhamisi alikuwa anaendelea vizuri na kufuatilia Kura za Maoni za CCM, na alifariki kwa mshtuko wa moyo
 
MSEMAJI WA FAMILIA: RAIS MKAPA AMEFARIKI KWA MSHTUKO WA MOYO

William Erio amesema Rais Mkapa alikuwa hajisikii vizuri Jumatano na alikutwa na Malaria, akalazwa

Alhamisi alikuwa anaendelea vizuri na kufuatilia Kura za Maoni za CCM, na alifariki kwa mshtuko wa moyo
Siku nyingine usomage post za wenzako hata una like tuu
 
Tumepoteza mmoja wa walinzi mahiri na madhubuti wa mapinduzi matukufu ya 1964

Jk sasa anatakiwa acheze nafasi zote mbili kwa wakati mmoja

2015 Wazee hawa ndio walimchagua Rais wa tano wa TZ then wakaenda Msasani kwa mwenzao kupata baraka na kilichoendelea Dodoma ilikuwa ni kutekeleza matakwa ya kisheria tu

Buriani Mzee Mkapa Mzee wa rasilimali akili
 
Tusahihishe njia zetu tuliobaki...Ben Mkapa safari yake imekwisha kamilika hakuna nyongeza wala maombi yetu juu yake ni uchafu tu.
 
Sawa naye Dr Omary Ally Juma naye alikufa kwa mshtuko
 
Ukijibiwa nambie.Yani wale waliotoka kiunoni make kabisa
Ndiyo naulizia wa kwake kabisa wa kuzaa kutoka kiunoni kwake,kwa umri aliokuwa nao ilitakiwa mtoto wake mmojawapo atoe taarifa za kifo chake
 
Kitendo cha kwenda hospital kumwona na wakazungumza mengi tena kuhusu kinachoendelea chamani bila viongozi wengine au umma kuambiwa kuwa mkapa anaumwa na kalazwa,kuna siri nzito sana itakuwa wameongea maana ukimsikiliza kikwete anasema waliongea sana na hawakumaliza mazungumzo hayo hadi kikwete akamwambia ukitoka hospital tutaongea zaidi.je?ni mazungumzo gani waliongea na je?walizunguzia nini bila kumshirikisha mwenyekiti wao?
Pumzika kwa amani b.mkapa
Na sijaona uwepo wa KIKWETE ,hapo uhuru wakati WA kuaga Mwili wa Marehemu
 
Viongoz mbali mbali wakipita kutoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwil wa hayat Benjamin Mkapa
IMG_20200726_143510.jpeg
IMG_20200726_141547.jpeg
IMG_20200726_143515.jpeg
IMG_20200726_143518.jpeg
 
Back
Top Bottom