Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
Malaria na mshituko wa moyo....Kile kipimo kingine kimekatazwa ila Malaria + mshituko wa moyo = ?
Malaria inaweza kuuwa bila msaada wa kingine na hata mshtuko wa moyo pia. Ama sivyo?
 
Marehemu hasemwi vibaya..Ni jambo la kushangaza lakini ipo hivyo na itabaki kuwa hivyo.

Ukweli ni kuwa marehemu akiwa Wizara ya Sayansi na Tekelinalokujia kama Waziri hakuwa na kauli juu ya Bilal. Alikuwa ni boya flani hivi.
 
Dunia ni uwanja wa fujo kila ajae ufanya fujo zake mbwembwe zake uondoka huja mwingine hivyohivyo, laiti Kama tungejua sisi ni wapangaji tusingekuwa chanzo cha huzuni kwa wengi.
 
Una maneno makali sana! Tumpe heshima yake marehemu na si kumdhika kwa kumbatiza majina ya Kifedhuli.
Heshima ni kuusitiri mwili na sio kuutembeza mitaani kama mwenge.
Hivi heshima aliyowapa wale waliouliwa kule Pemba ilikuwa ni kuwapongeza wauwaji na Kuwapa vyeo?
 
Hii combination ya ibada na wajeda ni ya kipekee sana.
Wajeda wananyata na biti za kanisani.
 
Hii combination ya ibada na wajeda ni ya kipekee sana.
Wajeda wananyata na biti za kanisani.
Mkuu, hao ni binadamu wa kawaida kama mimi na wewe na wanaimani zao, tofauti ni majukumu yao tu, pia kumbuka jeshini kuna band, na pia wanafanya ibada kama binadamu wengine

SAMAHANI KAMA NIMEKUKWAZA
 
Una maneno makali sana! Tumpe heshima yake marehemu na si kumdhika kwa kumbatiza majina ya Kifedhuli.
Mkuu heshima huombewi umeshakufa, tunaijenga wakati tupo hai.
Ameua zaidi ya watu 60, na walemavu zaidi ya 100 ikiwemo Pemba na Mwembechai Magomeni.
Wewe unaweza kuona ni maneno ya kifedhuli, lakini waathirika wakaona he deserve worst than this
 
Kitendo cha kwenda hospital kumwona na wakazungumza mengi tena kuhusu kinachoendelea chamani bila viongozi wengine au umma kuambiwa kuwa mkapa anaumwa na kalazwa,kuna siri nzito sana itakuwa wameongea maana ukimsikiliza kikwete anasema waliongea sana na hawakumaliza mazungumzo hayo hadi kikwete akamwambia ukitoka hospital tutaongea zaidi. Je, ni mazungumzo gani waliongea na je?walizunguzia nini bila kumshirikisha mwenyekiti wao?

Pumzika kwa amani b.mkapa
 
Back
Top Bottom