ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Mimi sikumfahamu. Jiwe?Your communication should be given level four alert by those who are concerned.
Kwa taarifa za awali humu JF! Kwa hiyo place and cause of death vinabakia siri lakini bado tunaambiwa tukauage mwili!Uliambiwa na nani?
Unajuwa hii Deportivo sisi inatuonea huruma sana lakini itafika wakati itasema tunamuona mjinga na itatutia adabu.