Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Bwana wee! Acha tu. Barakoa tupilia mbali.Tumeidharau sana COVID-19 tunaenda kukusanyika tena, basi huyu mungu ni wa peke yetu dunia nzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana wee! Acha tu. Barakoa tupilia mbali.Tumeidharau sana COVID-19 tunaenda kukusanyika tena, basi huyu mungu ni wa peke yetu dunia nzima
Wewe ni m'mbugwe. Wambugwe ndiyo huwa na tabia ya kushangilia na kuhusudu sana wanajeshi. Hata tobo wanaweza kuwagawia bila hiyana.JWTZ, nawapenda na kuwakubali sana Wanajeshi wetu, huwa napata furaha sana nikiwaona, Mungu wabariki wajeda wetu, ...
Serikali ya kibaguzi sanaMzee Ndesamburo alipofariki hatukuweza kumuaga uwanja wa Memorial.
Na huku wanaondoka moja baada ya mwingine. Yesu na Mohammed "help".Wenye nchi wamesema hakuna CoVID-19 Tanzania
Misiba ya CCM ndiyo ya kitaifaSerikali ya kibaguzi sana
Alphonce Mawazo walikataa kabisa hata asiagwe tu. Kwa kweli sina sababu ya kusikitika mwanaccm yoyote akifaMisiba ya CCM ndiyo ya kitaifa
Tukiwa binadamu huru tunazuiwa kumpokea Tundu Lissu kesho.Alphonce Mawazo walikataa kabisa hata asiagwe tu. Kwa kweli sina sababu ya kusikitika mwanaccm yoyote akifa
Uzungushwe mtaani umekuwa mwenge?Huo mwili kwanini wasiuzungushe mtaani kwa gari maalum kuliko kuwapa wananchi shida na kuwahatarisha na magonjwa ya mlipuko!?
Pambana kivyako ! Na familia yakoHakuna ushahidi wa vifo na wagonjwa
Wameona mzee asiende peke yake.Tumeidharau sana COVID-19 tunaenda kukusanyika tena, basi huyu mungu ni wa peke yetu dunia nzima
Waoga sanaUsisahau pia kuwa watanzania sio wajinga.
Duh,Noma sana.Alphonce Mawazo walikataa kabisa hata asiagwe tu. Kwa kweli sina sababu ya kusikitika mwanaccm yoyote akifa
Yule wa mbele upande wa kulia ?Hivi wanajeshi wabebaji hawawezi kubadilishina wakichoka?
Maana naona Kuna mmoja hapa kaelemewa Sana.
Ni watu wa wapi hao? Umempqtia sana jamaa halafu jinsi anavyowatukuza utafikiri wanamfanyia kazi ya bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni m'mbugwe. Wambugwe ndiyo huwa na tabia ya kushangilia na kuhusudu sana wanajeshi. Hata tobo wanaweza kuwagawia bila hiyana.
Unazungusha mitaa ipi? Practicality yake did you take it into consideration?Huo mwili kwanini wasiuzungushe mtaani kwa gari maalum kuliko kuwapa wananchi shida na kuwahatarisha na magonjwa ya mlipuko!?
Ndiyo MkuuYule wa mbele upande wa kulia ?
Nilimuona kweli anatamani kuachia jeneza ila angefanya hivyo kibarua chake kingekuwa matatani.Ndiyo Mkuu
Mungu alishajibu maombi yetuWenye nchi wamesema hakuna CoVID-19 Tanzania