Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
"Hamta ishi milele sifa ya mtu kufa, mara Tasaf, Mkukuta, Mkurabita, yote hii ni mifuko ya upigajiiiii" Nikki Mbishi
 
Nope!
Mwanzilishi wa TANROADS ni Mkapa!
Kabla ha hapo kulikuwa na idara za serikali-Ujenzi RRM(Rural Roads Maintainance) na TRM (Trunk Roads Maintainance) ambazo ufanisi wake ulikuwa mbaya.
Mkapa alibuni TANROADS, ambayo ingekuwa taasisi ya kuendeleza na ku maintain Trunk roads.
Barabara za wilayani ziliwekwa chini ya wizara ya TAMISEMI.

Hayo yalikuwa mapinduzi makubwa ambayo hapo mbeleni yataibua kampuni kubwa za kizalendo na wazawa.
Magufuli aliteuliwa kuwa waziri mdogo chini ya mama Anna Abdalla kusimamia sera hizo.
Nani alikuwa waziri wa ujenzi wakati huo? Unafahamu kuwa wakati Magu akiwa Naibu waziri wa ujenzi alikuja na wazo la mfuko wa barabara ambayo ndiyo ikaja kuwa Tanroad? Na bathi ya mawaziri wakamwekea kauzibe mpaka Rais Mkapa alipoingilia?
 
Nani alikuwa waziri wa ujenzi wakati huo? Unafahamu kuwa wakati Magu akiwa Naibu waziri wa ujenzi alikuja na wazo la mfuko wa barabara ambayo ndiyo ikaja kuwa Tanroad? Na bathi ya mawaziri wakamwekea kauzibe mpaka Rais Mkapa alipoingilia?
Mfuko wa barabara ni kitu tofauti kabisa.
Mchakato wa kuanzisha roads funding agent ulianza toka 1991/92, wakati hata Magufuli hajulikani.

Roads Fund Board ni a project funding agent na ilianzishwa kupitia THE ROAD AND FUEL TOLLS ACT, CHAPTER 220.
Nayo ilianzishwa mwaka 2000, sawasawa na TANROADS iliyo anzishwa July 2000.
Hii ilikuwa a master stroke ya ingenuity kwa upande wa serikali ya Mkapa, kwani funding ya roads projects sasa ulikuwa na uhakika zaidi kuliko mtindo wa ku fund miradi ya barabara kupitia bajeti ya wizara ya ujenzi.

Kwa hili Mkapa hatasahaulika.
 
Mie
Huo mwili kwanini wasiuzungushe mtaani kwa gari maalum kuliko kuwapa wananchi shida na kuwahatarisha na magonjwa ya mlipuko!?
Mie wameniboa tu kutushtukiza na njia ya msafara asubuhi hii. Jana nimefuatilia mpaka taarifa za saa 4 usiku labda wangeeleza hola. Mie niko jirani na hapo Lugalo lakini nimeshtuka wao wako Mwenge tayari. Sasa inabidi niende uwanja wa Taifa, wakati ningeweza kuaga hapa hapa.
 
Hivi wanajeshi wabebaji hawawezi kubadilishina wakichoka?
Maana naona Kuna mmoja hapa kaelemewa Sana.
 
Natoa wito kwa wananchi watakaojitokeza kujihadhari na Corona kwa kuvaa barakoa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom