Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
Ila jamaa wanabana

Hivi kutoa siku moja kuacha kazi Kuna shida gani?

Yaani mi nilishapanga kudoji jumatatu nifanye mambo yangu kwa kisingizio niko taifa, kumbe tutatakiwa kurudi ofisini.....eboooo

Kuna watu wana roho ngumuu
Pole sana; cha msingi Beba tu Kanga na vaa nguo nyeusi nenda nazo ofisini
 
norbit, utakuwa mrithi wa kizazi cha mwisho cha waoman
Mimi bro ni muAfrica zaidi ya mkapa, but I hate killers, wakati watu wanauliwa Pemba nilikuwepo kule, sitosahau till my death.
Jamaa alikuwa na kuburi lazima tukubali, last 5 years alituita malofa, wapumbavu kisa tuna miono tofauti tu.
 
Ndiye Rais aliyeiunda Taasisi ya TANROADS kama ilivyo leo na vile vile TRA.
Miaka ya zamani kazi zote za ujenzi wa barabara ziliaminika kuwa zinafanywa na wazungu.
Mkapa aliondoa dhana hiyo.
Tanroad yalikuwa ni mawazo ya Magu.
 
Na yeye ndio anaenda ardhini sasa, after 19 years alichozidi ni kuvimba kama nyangumi tu na lisura limekuwa kama kasa.
Sasa muekeeni taifa pale linuke kama mzoga wa mbwa Baadae mkalifukie.
Umevuta petroli ama umevuta bangi...
ama umevuta vyote!!
 
Kuna mi jitu iliwahi sema kwao ni msumbiji mingine ikasema hanaga watoto
 
Tanroad yalikuwa ni mawazo ya Magu.
Nope!
Mwanzilishi wa TANROADS ni Mkapa!
Kabla ha hapo kulikuwa na idara za serikali-Ujenzi RRM(Rural Roads Maintainance) na TRM (Trunk Roads Maintainance) ambazo ufanisi wake ulikuwa mbaya.
Mkapa alibuni TANROADS, ambayo ingekuwa taasisi ya kuendeleza na ku maintain Trunk roads.
Barabara za wilayani ziliwekwa chini ya wizara ya TAMISEMI.

Hayo yalikuwa mapinduzi makubwa ambayo hapo mbeleni yataibua kampuni kubwa za kizalendo na wazawa.
Magufuli aliteuliwa kuwa waziri mdogo chini ya mama Anna Abdalla kusimamia sera hizo.
 
Usijifiche kuwa muwazi tu kwa sababu Mungu anakuona- wewe ni Mtanzania, Mpemba, mwenye asili ya Oman na ni msukule wa maalim seif
Maalim anagombea toka 1995, 2000, 2005, 2010, 2015 na 2020 yeye tu. Tamaa mbaya sana
 
Wana JamiiForums, sio mbaya tukienda ku sign daftari la maombolezo kwa mliopo Dar es Salaam
COVID 19 Brother, uwe makini hawa jamaa walikuwa Dodoma kwenye kikao chao na marehemu kafa bila ugonjwa kutangazwa wazi. Ugonjwa upo lazima sisi kama wanannchi tujilinde. Epuka mikusanyiko.
 
Alifikiri hatokufa, sasa akakutatane na aliowauwa.
Mungu amlipe anachostahili.
Kila nafsi itaonja mauti, tuwe waadalifu tunapotunukiwa neema haswaa, ya afya, utajiri & power, mauti ndio mwisho wetu na tutalipwa kwa tulichopanda.
Ninao wakumbuka mikononi mwake ni
Gen. Kombe
Wachimba migodi Ulyankuru
Wapemba 27 january 2001

CORONA imetusaidia sana, mwaka huu tungetukanwa sana. Apumzike anapostahili.
 
Back
Top Bottom