wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Binafsi kinanitia sana wasiwasi kulikoniNa sijaona uwepo wa KIKWETE ,hapo uhuru wakati WA kuaga Mwili wa Marehemu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi kinanitia sana wasiwasi kulikoniNa sijaona uwepo wa KIKWETE ,hapo uhuru wakati WA kuaga Mwili wa Marehemu
Kipindi ungekuwa kabinti ka miaka 14 ingetakiwa wazazi wawe makini nawe naona ndio kipindi cha chuchu zinavuta!Mzee Ndesamburo alipofariki hatukuweza kumuaga uwanja wa Memorial.
Mkazi wa lupaso alikua haiogopi kama unavyotushauri, ona ilivyombidua.Jiwe alishapa na akaenda kujiuguza chattle na akasavaivu. Ishu ni kwamba korona inabidi tuizoee ila tusiiogope.
Lisemwalo lipo kama halipo linakuja.Maneno magumu haya
It won't help anything as 5 years second term is near and will start counting down to a power handing over ceremony.Your communication should be given level four alert by those who are concerned.
Sisi malofa!Binadamu Haitwi Mzoga,Kuwa na Lugha Nzuri
Huyo ni Maiti,ni Ni Hayati Mkapa ,Yeye katangulia na kesho sisi.
Wote tutakunywa kikombe kicho, hatuna ujanja.
Uwe na Adabu ya Lugha,na staha ya Raisi wetu Mstaafu.
What makes you visit at National stadium is nothing isn't it?We know that Covid-19 is real!, Point yangu ni kwamba kwani mikusanyiko ndo imeanza leo!?, Mbona mikusanyiko mingi tu imefanyika and nothing happened.
Alilazwa hospitali ipi?MSEMAJI WA FAMILIA: RAIS MKAPA AMEFARIKI KWA MSHTUKO WA MOYO
William Erio amesema Rais Mkapa alikuwa hajisikii vizuri Jumatano na alikutwa na Malaria, akalazwa
Alhamisi alikuwa anaendelea vizuri na kufuatilia Kura za Maoni za CCM, na alifariki kwa mshtuko wa moyo
Hizi kauli za kimaskini wa fikra hawezi kuachwa lazima tujifunze toka kwake.Muache apumzike kwa amani, tugange yajayo.