MSEMAJI WA FAMILIA: RAIS MKAPA AMEFARIKI KWA MSHTUKO WA MOYO

William Erio amesema Rais Mkapa alikuwa hajisikii vizuri Jumatano na alikutwa na Malaria, akalazwa

Alhamisi alikuwa anaendelea vizuri na kufuatilia Kura za Maoni za CCM, na alifariki kwa mshtuko wa moyo
 
Siku nyingine usomage post za wenzako hata una like tuu
 
Tumepoteza mmoja wa walinzi mahiri na madhubuti wa mapinduzi matukufu ya 1964

Jk sasa anatakiwa acheze nafasi zote mbili kwa wakati mmoja

2015 Wazee hawa ndio walimchagua Rais wa tano wa TZ then wakaenda Msasani kwa mwenzao kupata baraka na kilichoendelea Dodoma ilikuwa ni kutekeleza matakwa ya kisheria tu

Buriani Mzee Mkapa Mzee wa rasilimali akili
 
Tusahihishe njia zetu tuliobaki...Ben Mkapa safari yake imekwisha kamilika hakuna nyongeza wala maombi yetu juu yake ni uchafu tu.
 
Sawa naye Dr Omary Ally Juma naye alikufa kwa mshtuko
 
Ukijibiwa nambie.Yani wale waliotoka kiunoni make kabisa
Ndiyo naulizia wa kwake kabisa wa kuzaa kutoka kiunoni kwake,kwa umri aliokuwa nao ilitakiwa mtoto wake mmojawapo atoe taarifa za kifo chake
 
Na sijaona uwepo wa KIKWETE ,hapo uhuru wakati WA kuaga Mwili wa Marehemu
 
Viongoz mbali mbali wakipita kutoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwil wa hayat Benjamin Mkapa
 
Hakika sisi sote ni wa mwenyezimungu na kwake tutarejea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…