Hata Ruge aliagwa na watu wengi kuliko Big BenJapokuwa sio vizuri kulinganisha misiba ila inatia shaka sana tukikimbuka misiba miwili ya watu maarufu hapa nchini; Ruge na Mengi watu walivyojitokeza barabarani hadi kwenye kuaga pale Karimjee kuliratibiwa vizuri na watu walijitokeza kweli kweli...
Musiba alifikir kuna MTU anamjua kumbe zeroo amepata aibu hadi hana hamHakuna anayemsupport Magufuli watu wakampenda kutoka moyoni.
Refer kilichowapata Cyprian Musiba, Bashite na Gwajima.
Japokuwa sio vizuri kulinganisha misiba ila inatia shaka sana tukikimbuka misiba miwili ya watu maarufu hapa nchini; Ruge na Mengi watu walivyojitokeza barabarani hadi kwenye kuaga pale Karimjee kuliratibiwa vizuri na watu walijitokeza kweli kweli...
Ingezea Job ndugai na Mrisho Gambo pia!Mkuu Yaani umefikia hitimisho kwa kuleta sample ya watu watatu kati ya watu millioni 50+?,haya na Mimi nakupa watu watatu wanaomsaporti jembe JPM na wameshinda kula za maoni kwa kishindo,waziri mkuu ambaye kapita bila kupingwa,spika wa bunge kashinda kwa 96% na tulia akson naibu spika kashinda kwa 90+%
Huwa mnakwama wapi ninyi wakuu kwa kuja na simple analysis za chekechea?
Unataka watu wafikirie kama unavyofikiria wewe? Sio kila mtu anapenda kunyooshea watu vidole kama wewe. Hata wewe unamapungufu mengi tu, tofauti ni kuwa wewe huna madaraka na sio maarufu.Hizi kauli za kimaskini wa fikra hawezi kuachwa lazima tujifunze toka kwake.
Serikali hii ina mambo ya kienyeji sana na wataangukia pua tu.Japokuwa sio vizuri kulinganisha misiba ila inatia shaka sana tukikimbuka misiba miwili ya watu maarufu hapa nchini; Ruge na Mengi watu walivyojitokeza barabarani hadi kwenye kuaga pale Karimjee kuliratibiwa vizuri na watu walijitokeza kweli kweli...
Kama wewe humsapoti, wapo wanaomsapoti na ni wengi kama mchanga Wa bahari. Ulitaka afanye unayotaka wewe?Hakuna anayemsupport Magufuli watu wakampenda kutoka moyoni.
Refer kilichowapata Cyprian Musiba, Bashite na Gwajima.
Watu wa kipato cha chini ndio hushiriki kwa kiasi kikubwa. Nao kwa sasa wanahangaika kuokotezea wasilale njaa. Hata mpango wa usafiri kuwasogeza wa pembezoni wakaribie hapo unasaidia. Watanzania hawajapungukiwa na upendo only circumstances!Ratiba na route yenyewe aikutangazwa wala hakukuwa na hamasa
Timing yenyewe sio nzuri ukizingatia siku ya jumapili
Hao watu wangetokea vipi.
Yale yale ya serikali kwenye kuandaa mambo yake 9 out 10 huwa ovyo.
Wanaoenda uwanjani wajihadhari sana corona bado IPO sana tu
Na huku wanaondoka moja baada ya mwingine. Yesu na Mohammed "help".
Wajue kuwa kipochosababisha kifo cha Mkapa kimefichwa tena kwa makusudi maana alifariki kwenye hospitali ya Makumbusho na sababu inajulikana kwa baadhi.
Chukua tahadhari Corona ipo, inaua na kama ukiendelea kushupaza shingo "UTAKUFA TU NA MIMI NASEMA UFE MAANA HAKUNA NAMNA SASA! CHAGUENI WAKUMSIKILIZA KISHA UWE MBAYUWAYU MAANA ANGEWASIKILIZA NDEGE WENZAKE ANGEANGUKIA KICHWA"
Mimi sikumfahamu. Jiwe?
Kwa taarifa za awali humu JF! Kwa hiyo place and cause of death vinabakia siri lakini bado tunaambiwa tukauage mwili!
Unajuwa hii Deportivo sisi inatuonea huruma sana lakini itafika wakati itasema tunamuona mjinga na itatutia adabu.
Ila haikuwa kwa eneo kubwa hivyo,yaani kujumuisha nchi nyingi kama kwa Mkapa.Kumbuka tumefanya hivyo kwa Nkurunzinza pia,, nafikiri kila jambo na wakati wake,,