Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
Binafsi naamini kesho kutakuwa na mafuriko ya watu Uwanja wa Taifa. Kutakuwa na wanaoenda kutazama gwaride na watakaokuwa wanaenda kumshangaa Lissu ambao ndio watakuwa wengi.

Watawala waangalie msiba wa Winne Mandela jinsi walivyowapa nafasi EFF nao wafanye hivyo kesho. Lissu apewe nafasi ya kutoa salamu!

Aidha nawapongeza polisi leo kwa busara waliyotumia. Busara hii iendelee hadi uchaguzi Mkuu uishe.
Kwa TL kila goti litapigwa. Wewe umekuwa mstari wa mbele kuhubiri chuki dhidi ys Lissu; leo umekuwa Rafiki??
 
Mkuu una mpango wa kunajisi box la kura nini hiyo October, ndio maana umeshukuru hayo mahojiano yamekatishwa, kwani umejua mkiiba safari hii watu wataandamana tena nini?
Usijali, mbona jana mliandamana na maisha yakaendelea? Muandamane Tu, mi nitaendelea kula mboliko yangu
 
Mbona hawa wa toto wa nyerere makongoro na madaraka kwa muone kano kimazingira kieshima kinyazifa Serikalini wapo tofauti Sana na watoto wa mwinyi, kikwete, lowassa, karume mfano kwenye kura za maoni ccm huko kwao wamekatwa Lakin watoto wa kikwete, lowassa mwinyi, wametoboa kwenye kura za maoni ccm
Hii kitu inanifikirisha hata mimi,
Nyerere anaenziwa sana Tz, ndie baba wa taifa letu haina ubishi lakini mbona watoto wake wametengwa? Sijasikia Waziri Nyerere wala RC Nyerere, kuna nini nyuma ya pazia?
Wajuvi mtujuze.
 
Binafsi naamini kesho kutakuwa na mafuriko ya watu Uwanja wa Taifa. Kutakuwa na wanaoenda kutazama gwaride na watakaokuwa wanaenda kumshangaa Lissu ambao ndio watakuwa wengi.

Watawala waangalie msiba wa Winne Mandela jinsi walivyowapa nafasi EFF nao wafanye hivyo kesho. Lissu apewe nafasi ya kutoa salamu!

Aidha nawapongeza polisi leo kwa busara waliyotumia. Busara hii iendelee hadi uchaguzi Mkuu uishe.
We jamaa unahangaika sana .una maruwe ruwe sana
 
Binafsi naamini kesho kutakuwa na mafuriko ya watu Uwanja wa Taifa. Kutakuwa na wanaoenda kutazama gwaride na watakaokuwa wanaenda kumshangaa Lissu ambao ndio watakuwa wengi.

Watawala waangalie msiba wa Winne Mandela jinsi walivyowapa nafasi EFF nao wafanye hivyo kesho. Lissu apewe nafasi ya kutoa salamu!

Aidha nawapongeza polisi leo kwa busara waliyotumia. Busara hii iendelee hadi uchaguzi Mkuu uishe.
Pole sana bro hujapata uteuzi mpaka sasa sijui umekwama wapi
 
Wameshampiga spana kuaga leo waziri mkuu kasema Leo wanaaga Rais na msafara wake tu na viongoz wa dini
 
Nimebahatika kuwaona mzee Rungwe Spunta, mzee Momose Cheyo, maalimu Seif na James Mbatia lakini bado sijamuona mh Tundu Antipas Lisu kama alivyotuahidi jana.

Watu ni wengi mno yawezekana ameshawasili lakini amekaa upande mwingine.
Karibu Tundu Lisu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mgeni kutoka nje ya nchi tofauti na mabalozi ni Waziri Mkuu wa Burundi tu! Tatizo ni corona au diplomasia yetu imeshuka kiasi hiki? Tujitafakari na tujisahihishe!
Diplomasia na kuipuuza Corona ndo chanzo kikuu.
 
Tupo nae hapa jukwaa kuu wewe upo huko walipokaa wanafunzi utatuonaje?
 
Back
Top Bottom