Kwa TL kila goti litapigwa. Wewe umekuwa mstari wa mbele kuhubiri chuki dhidi ys Lissu; leo umekuwa Rafiki??Binafsi naamini kesho kutakuwa na mafuriko ya watu Uwanja wa Taifa. Kutakuwa na wanaoenda kutazama gwaride na watakaokuwa wanaenda kumshangaa Lissu ambao ndio watakuwa wengi.
Watawala waangalie msiba wa Winne Mandela jinsi walivyowapa nafasi EFF nao wafanye hivyo kesho. Lissu apewe nafasi ya kutoa salamu!
Aidha nawapongeza polisi leo kwa busara waliyotumia. Busara hii iendelee hadi uchaguzi Mkuu uishe.