Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
Japokuwa sio vizuri kulinganisha misiba ila inatia shaka sana tukikimbuka misiba miwili ya watu maarufu hapa nchini; Ruge na Mengi watu walivyojitokeza barabarani hadi kwenye kuaga pale Karimjee kuliratibiwa vizuri na watu walijitokeza kweli kweli...
Hata Ruge aliagwa na watu wengi kuliko Big Ben
 
Embu tuambie jiran yako anaangalia Nini saiz kwenye Tv unajua nyie chadema ni wanafikir Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwaio huon Watu kabisa
Japokuwa sio vizuri kulinganisha misiba ila inatia shaka sana tukikimbuka misiba miwili ya watu maarufu hapa nchini; Ruge na Mengi watu walivyojitokeza barabarani hadi kwenye kuaga pale Karimjee kuliratibiwa vizuri na watu walijitokeza kweli kweli...
 
Mkuu Yaani umefikia hitimisho kwa kuleta sample ya watu watatu kati ya watu millioni 50+?,haya na Mimi nakupa watu watatu wanaomsaporti jembe JPM na wameshinda kula za maoni kwa kishindo,waziri mkuu ambaye kapita bila kupingwa,spika wa bunge kashinda kwa 96% na tulia akson naibu spika kashinda kwa 90+%

Huwa mnakwama wapi ninyi wakuu kwa kuja na simple analysis za chekechea?
Ingezea Job ndugai na Mrisho Gambo pia!

Kingine usichukulie serious sana hizi coment za hawa vijana wa bavicha huwa wananaandika hivyo ili kujifariji
 
Kwa upande wangu nimejikuta nayatafakari sana maisha ya huyu mwamba enzi za uhai wake.
Ni kama alijimiliki yeye mwenyewe, sana sana utamsikia mke wake tu akitajwa.

Nakumbuka hata wakati anagombea urais ni kama watu walikua hawamfaham, alijulikana zaidi kwa sifa ya kuwa mwandishi wa habari wa rais, ni kama aliibuliwa tu kutoka kusikojulikana.

Lakini kiuhalisia hali haiko hivyo, huyu alishakua mbunge, waziri wa wizara kadhaa, balozi n.k

Msiba umeenda kama maisha yake yalivyokua.

Apumzike kwa amani.
 
Hizi kauli za kimaskini wa fikra hawezi kuachwa lazima tujifunze toka kwake.
Unataka watu wafikirie kama unavyofikiria wewe? Sio kila mtu anapenda kunyooshea watu vidole kama wewe. Hata wewe unamapungufu mengi tu, tofauti ni kuwa wewe huna madaraka na sio maarufu.

Na watu kama wewe huwa wanaishia kuongea ongea tu hata ukuu Wa wilaya huwa hampati sababu ya roho zenu mbaya na kijiona mpo sahihi Kwa kila jambo
 
Japokuwa sio vizuri kulinganisha misiba ila inatia shaka sana tukikimbuka misiba miwili ya watu maarufu hapa nchini; Ruge na Mengi watu walivyojitokeza barabarani hadi kwenye kuaga pale Karimjee kuliratibiwa vizuri na watu walijitokeza kweli kweli...
Serikali hii ina mambo ya kienyeji sana na wataangukia pua tu.
 
Hakuna anayemsupport Magufuli watu wakampenda kutoka moyoni.

Refer kilichowapata Cyprian Musiba, Bashite na Gwajima.
Kama wewe humsapoti, wapo wanaomsapoti na ni wengi kama mchanga Wa bahari. Ulitaka afanye unayotaka wewe?
 
Ratiba na route yenyewe aikutangazwa wala hakukuwa na hamasa

Timing yenyewe sio nzuri ukizingatia siku ya jumapili

Hao watu wangetokea vipi.

Yale yale ya serikali kwenye kuandaa mambo yake 9 out 10 huwa ovyo.
Watu wa kipato cha chini ndio hushiriki kwa kiasi kikubwa. Nao kwa sasa wanahangaika kuokotezea wasilale njaa. Hata mpango wa usafiri kuwasogeza wa pembezoni wakaribie hapo unasaidia. Watanzania hawajapungukiwa na upendo only circumstances!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania km wajumbe wa CCM. Nawafananisha na makondoo. Wanaimamisha vichwa chini na kuitikia tu Hewallah hewllah baba. Kumbe deep inside them washajifanyia mahesab.

Haya watafte wakumtumbua yule ambaye hajafanyia promotion msiba maana Arusha kuna mkurugenz katumbuliwa kwa kutoweta watazamaji kuja kushuudia mheshimiwa sana Jafo akizindua barabara
 
Wajue kuwa kipochosababisha kifo cha Mkapa kimefichwa tena kwa makusudi maana alifariki kwenye hospitali ya Makumbusho na sababu inajulikana kwa baadhi.

Chukua tahadhari Corona ipo, inaua na kama ukiendelea kushupaza shingo "UTAKUFA TU NA MIMI NASEMA UFE MAANA HAKUNA NAMNA SASA! CHAGUENI WAKUMSIKILIZA KISHA UWE MBAYUWAYU MAANA ANGEWASIKILIZA NDEGE WENZAKE ANGEANGUKIA KICHWA"

Watanzania bhana .... kwa hiyo siku hz mzee akifa ni Corona tuu ... hakuna maradhi mengine au yameenda likizo
 
Mimi sikumfahamu. Jiwe?

Kwa taarifa za awali humu JF! Kwa hiyo place and cause of death vinabakia siri lakini bado tunaambiwa tukauage mwili!

Unajuwa hii Deportivo sisi inatuonea huruma sana lakini itafika wakati itasema tunamuona mjinga na itatutia adabu.

Acha siasa zisizo na tija
 
Poleni na msiba wa taifa na hongereni kwa upande mwingine kupata faraja ya kumpokea Tundu Lissu.Nirudi kwenye mada iliyonileta,ni hivi nimeguswa kuona nchi zote za jumuia ya Afrika Mashariki zimeungana nasi katika kuomboleza msiba wa hayati Mkapa,kwa kutangaza siku za maombolezo kitaifa na kupeperusha bendera nusu mlingoti.

Binafsi nikawa najiuliza ni sheria ipo inayotaka nchi hizo kufanya au ni kutokana na ukubwa wa msiba wenyewe na namna Mkapa alivyozigusa nchi hizo,kama ni sheria mbona miezi michache iliyopita alifariki Daniel A.Moi wa Kenya hatukuwa na jambo la namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka tumefanya hivyo kwa Nkurunzinza pia, nafikiri kila jambo na wakati wake.
 
Nadhani umaarufu umechangia sana,unajua mfano pale Kenya alikuwa msuluhishi ktk ule mgogoro wa mwaka ule na Rwanda na Burundi pia wanamfahamu kwa kutafuta suluhu kwenye migogoro yao.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa ni siku ya pili ya maombolezo kufutia kifo cha Rais wa awamu ya 3 Benjamin Mkapa,jioni ya leo familia ya Hayati baba wa Taifa Julius Nyerere wamefika nyumbani kwa Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa kutoa pole kufuatia kifo cha kiongozi huyo.
Wakiongozwa na mtoto wa mwalimu Makongoro Nyerere aliyefuatana na mwandishi wa habari na mwanaharakati maarufu nchini ndugu Cyprian Musiba, wawili hao wamefika na kusaini kitabu cha maombolezo lakini pia kufanya mazungumzo na familia ya Mzee Mkapa.
Marehemu mzee Mkapa alifariki usiku wa kuamkia tarehe 24/7/2020 kwa shambulio la moyo.
Bwana alitoa na ametwaa,mwili wa mpendwa wetu upumzike kwa amani.
 

Attachments

  • IMG_20200727_212016.jpg
    IMG_20200727_212016.jpg
    70.3 KB · Views: 1
  • IMG_20200727_201344.jpg
    IMG_20200727_201344.jpg
    55 KB · Views: 1
  • IMG_20200727_200906.jpg
    IMG_20200727_200906.jpg
    50.6 KB · Views: 1
  • IMG_20200727_200913.jpg
    IMG_20200727_200913.jpg
    51.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom