Kwa TL kila goti litapigwa. Wewe umekuwa mstari wa mbele kuhubiri chuki dhidi ys Lissu; leo umekuwa Rafiki??
 
Mkuu una mpango wa kunajisi box la kura nini hiyo October, ndio maana umeshukuru hayo mahojiano yamekatishwa, kwani umejua mkiiba safari hii watu wataandamana tena nini?
Usijali, mbona jana mliandamana na maisha yakaendelea? Muandamane Tu, mi nitaendelea kula mboliko yangu
 
Hii kitu inanifikirisha hata mimi,
Nyerere anaenziwa sana Tz, ndie baba wa taifa letu haina ubishi lakini mbona watoto wake wametengwa? Sijasikia Waziri Nyerere wala RC Nyerere, kuna nini nyuma ya pazia?
Wajuvi mtujuze.
 
We jamaa unahangaika sana .una maruwe ruwe sana
 
Pole sana bro hujapata uteuzi mpaka sasa sijui umekwama wapi
 
Wameshampiga spana kuaga leo waziri mkuu kasema Leo wanaaga Rais na msafara wake tu na viongoz wa dini
 
Nimebahatika kuwaona mzee Rungwe Spunta, mzee Momose Cheyo, maalimu Seif na James Mbatia lakini bado sijamuona mh Tundu Antipas Lisu kama alivyotuahidi jana.

Watu ni wengi mno yawezekana ameshawasili lakini amekaa upande mwingine.
Karibu Tundu Lisu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mgeni kutoka nje ya nchi tofauti na mabalozi ni Waziri Mkuu wa Burundi tu! Tatizo ni corona au diplomasia yetu imeshuka kiasi hiki? Tujitafakari na tujisahihishe!
Diplomasia na kuipuuza Corona ndo chanzo kikuu.
 
Tupo nae hapa jukwaa kuu wewe upo huko walipokaa wanafunzi utatuonaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…