Atazikwa Lupaso masasi tar 29/07/2020 confirmed.

Asante mno kwa Taarifa yako hii Muhimu Mkuu. Ningeshangaa sana kama angezikwa mahala pengine tofauti na huko Kwao Kijijini Lupaso Masasi.
 
Mzigo wa mwenzako ni ganda la usufi

Sisi tulioko hapa hatuwezi kumsahau Laanatullahi Mkapa

Hawa wapuuzi walijipeleka Mogadishu kwa kudhani kuwa watapelekwa Ulaya.. ***** wanachokipata hawana hamu kwa sasa
 
Ila jamaa wanabana

Hivi kutoa siku moja kuacha kazi Kuna shida gani?

Yaani mi nilishapanga kudoji jumatatu nifanye mambo yangu kwa kisingizio niko taifa, kumbe tutatakiwa kurudi ofisini.....eboooo

Kuna watu wana roho ngumuu
 
Yalitokea akiwa RAIS hakuwa Mkapa; na hunahakai ya kuhukumu mtu yeyote usifanye kazi isiyo yajo
Mimi sija muhukumu, Nimetangalia Kusema Mungu amlipe anachostahili.
Kwa mshauri ajibu, si kuwa mimi alikuwa Rais, au siku mkienda kufukia mzoga wake mwambie Mungu alieuwa hakuwa yeye alikuwa Rais.
 
Mimi sija muhukumu, Nimetangalia Kusema Mungu amlipe anachostahili.
Kwa mshauri ajibu, si kuwa mimi alikuwa Rais, au siku mkienda kufukia mzoga wake mwambie Mungu alieuwa hakuwa yeye alikuwa Rais.
utakuwa umelelewa na wazazi wa ajabu sana
 
Yani inauma sana jamani.. [emoji36][emoji24][emoji24][emoji22]
 
Hawa wapuuzi walijipeleka Mogadishu kwa kudhani kuwa watapelekwa Ulaya.. ***** wanachokipata hawana hamu kwa sasa
Na yeye ndio anaenda ardhini sasa, after 19 years alichozidi ni kuvimba kama nyangumi tu na lisura limekuwa kama kasa.
Sasa muekeeni taifa pale linuke kama mzoga wa mbwa Baadae mkalifukie.
 
Na yeye ndio anaenda ardhini sasa, after 19 years alichozidi ni kuvimba kama nyangumi tu na lisura limekuwa kama kasa.
Sasa muekeeni taifa pale linuke kama mzoga wa mbwa Baadae mkalifukie.
norbit, utakuwa mrithi wa kizazi cha mwisho cha waoman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…