Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
Kodi X aliondoa Mkapa
Kodi X aliondoa Mkapa
Kodi X aliondoa Mkapa

Nadhani Mkapa ndio tulitakiwa kumpigia chapuo aongezewe miaka ya kutuongoza.
 
Mgeni kutoka nje ya nchi tofauti na mabalozi ni Waziri Mkuu wa Burundi tu! Tatizo ni corona au diplomasia yetu imeshuka kiasi hiki? Tujitafakari na tujisahihishe!
Dogo usiulize maswali ya hivi hautapata hata utendaji w kijiji!
 
Aliyesema wageni wengi watakuja. Simkumbuki ni nani. Si unajionea mwenyewe. Mgeni ni waziri mkuu wa Burundi peke yake. Wengine wamewakilishwa na mabalozi wao..chezea microscopic organism wewe.
Coronavirus umetuweza.
Binadamu wote à bas.
Corona "vilasi" mwana haramu kweli. Hadi october jibu litapatina tu.
 
Mgeni kutoka nje ya nchi tofauti na mabalozi ni Waziri Mkuu wa Burundi tu! Tatizo ni corona au diplomasia yetu imeshuka kiasi hiki? Tujitafakari na tujisahihishe!
mkuu vipi, wajumbe wamekushughulikia nini?
maana aina hii ya maswali si yako ati!
 
Niliona mmoja kachukua fomu...butiama.
Ila sio lazima bahna, mbona hujipigii chapuo ww na ndugu zako?
Wawili madaraka na makongoro walichukua fomu, lakini waliambulia patupu, mie sina interest za teuzi wala siasa.
 
Hahahah [emoji23] [emoji23] ni msiba au kampeni ya, CCM huyu Magufuli anatatizo huyu.
 
Back
Top Bottom