Missile, it seems hujamwelewa swali lake. Anasema mbona haoni watoto, for that matter familia ya Mkapa. Mtu unategemea uone watoto wame line up na mama yako.... something of that nature!It seems mheshimiwa alikuwa na watu wachache sana around him.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Missile, it seems hujamwelewa swali lake. Anasema mbona haoni watoto, for that matter familia ya Mkapa. Mtu unategemea uone watoto wame line up na mama yako.... something of that nature!It seems mheshimiwa alikuwa na watu wachache sana around him.
Sio Anna? Ina maana hawakuwa wanaishi wote?alikuwa anaishi na mwanamke wa kizungu Lushoto.
Aisee!! Hadi kwenye mazishi mnapigia hesabu za siasa..Wafuasi wa cdm wanaopinga pinga kila kitu nadhan mmejifunza kitu lupaso mna kazi sana kuwanyakua hao wapiga kura. Nyomi kama lote
Samahani kama mwananchi natamani kufahamu na kujua kama marehemu rais wa awamu ya tatu alikuwa na familia yaani watoto.
Kwa sababu toka msiba uko Dar hadi unagika kijijini kuzikwa sijabahatika kusikia wala kuwaona wanaoitwa watoto wa marehemu Mkapa.
Naomba mwenye ufahamu anisaidie
Aisee!! Hadi kwenye mazishi mnapigia hesabu za siasa..
walisha achana siku nyingiSio Anna? Ina maana hawakuwa wanaishi wote?
[SUB]Viongozi wangu wapi?[/SUB]Mmeanzisha wenyewe na viongozi wenu
[SUB]Viongozi wangu wapi?[/SUB]
Ngoja watakuja kutueleza vizuriHivi huwa wanaandika nini kwenye lile daftari?
Sio ubwabwa tu ata pilau ipo la biriani kabisaSamahani kwa wajuzi wa haya mambo ya misiba ya viongozi, hivi na hapa kunakuwaga na ubwabwa wa msiba?
Samahani kwa wajuzi wa haya mambo ya misiba ya viongozi, hivi na hapa kunakuwaga na ubwabwa wa msiba?
Punguza mihemko, hatuna utamaduni wa kubaguana kwenye misiba. Mkusanyiko wa watu kwenye msiba ni jambo la kawaida sana, wewe unadhani wameenda kwa itikadi za kichama! Hata akifa Chakubanga leo, tutashiriki kwa wingi bila kujali itikadi.Wafuasi wa cdm wanaopinga pinga kila kitu nadhan mmejifunza kitu lupaso mna kazi sana kuwanyakua hao wapiga kura. Nyomi kama lote
Punguza mihemko, hatuna utamaduni wa kubaguana kwenye misiba. Mkusanyiko wa watu kwenye msiba ni jambo la kawaida sana, wewe unadhani wameenda kwa itikadi za kichama! Hata akifa Chakubanga leo, tutashiriki kwa wingi bila kujali itikadi.