Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
It seems mheshimiwa alikuwa na watu wachache sana around him.
Missile, it seems hujamwelewa swali lake. Anasema mbona haoni watoto, for that matter familia ya Mkapa. Mtu unategemea uone watoto wame line up na mama yako.... something of that nature!
 
Watoto wapo hapo mbele na mama yao.
20200729_094241.jpg
 
Samahani kama mwananchi natamani kufahamu na kujua kama marehemu rais wa awamu ya tatu alikuwa na familia yaani watoto.

Kwa sababu toka msiba uko Dar hadi unagika kijijini kuzikwa sijabahatika kusikia wala kuwaona wanaoitwa watoto wa marehemu Mkapa.

Naomba mwenye ufahamu anisaidie

Sikuwahi kudhani kuwa na Wewe utakuwa na Upuuzi hivi kama Wapuuzi wengine hapa. Hivi unaposema kuwa Marehemu hakuwa na Watoto hawa akina Nicholaus na Steven ambao tokea Juzi wanaonekana na hata Mheshimiwa Rais alionana nao ni wa nani?

Jana tu hao hao Watoto wake pamoja na Wake zao na Watoto zao walikuwepo Uwanjani (Uhuru) na walitambulishwa je, wale hawakuwa Watoto wa Hayati Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa? Nilikuwa nakuheshimu mno hapa kumbe na Wewe ni Mswahili kama Waswahili wengine. Nimesikitika!
 
Huyu jamaa mtembea kwa miguu toka mbeya to Dar kuja shangilia simba namuona hapa na ngao na sime yake hakika huyu ni mzalendo kweri kweri
 
Kipindi chote cha maombolezo kikundi cha kwaya cha CCM cha TOT kimekuwa kikitumika. Kwa wanaojua sauti ni ya John Komba kabisa, je ni mmoja wa watoto wake?
Au?
 
Samahani kwa wajuzi wa haya mambo ya misiba ya viongozi, hivi na hapa kunakuwaga na ubwabwa wa msiba?
 
Samahani kwa wajuzi wa haya mambo ya misiba ya viongozi, hivi na hapa kunakuwaga na ubwabwa wa msiba?

Mkuu unauliza vumbi darini! Tena kwenye matangazo jana, nilisikia kuwa wamenunua ng'ombe kadhaa kwa ajili ya mlo wa watakaoshiriki shughuli ya leo. Kwenye msiba mzito hivyo mchele lazima. Nakumbuka nikiwa mtoto nilisikia Jaramog Oginga Odinga, baba yake Raila alipokufa yalichinjwa madume ya ng'ombe 100! Baada ya kuwa mkubwa ndio nimefahamu kwa uhakika nyama ya ng'ombe mia moja ilikuwa nyingi kiasi gani.
 
Wafuasi wa cdm wanaopinga pinga kila kitu nadhan mmejifunza kitu lupaso mna kazi sana kuwanyakua hao wapiga kura. Nyomi kama lote
Punguza mihemko, hatuna utamaduni wa kubaguana kwenye misiba. Mkusanyiko wa watu kwenye msiba ni jambo la kawaida sana, wewe unadhani wameenda kwa itikadi za kichama! Hata akifa Chakubanga leo, tutashiriki kwa wingi bila kujali itikadi.
 
Mkiambiwa ukweli mnaanza kuleta mahubiri. Si nyie mliokua mnajitapa mmezira msiba na bila nyie uwanja ulikua tupu. Poleni siasa misibani mmezianza wenyewe
Punguza mihemko, hatuna utamaduni wa kubaguana kwenye misiba. Mkusanyiko wa watu kwenye msiba ni jambo la kawaida sana, wewe unadhani wameenda kwa itikadi za kichama! Hata akifa Chakubanga leo, tutashiriki kwa wingi bila kujali itikadi.
 
Back
Top Bottom