Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
kachelewa sana na kawasubirisha mno watu aisee.
ratiba inaonyesha ilikuwa afike masaa 4 kabla... siyo fair kabisa, kulikoni?

Ratiba mbona inaendelea kama kawaida hakuna alichochelewesha, sbb wananachi wakimaliza kuaga, then Jeshi linamuaga rasmi na ndio itakuwa mwisho wa kuaga.. Sasa kawasubiria watu kivipi na misa inaendelea, hata angekuwepo tokea asubuhi bado ratiba ingekuwa hivi hivi ilivyo.. Au hujui ratiba ikoje
 
Msaada please maana sikufanikiwa kusikiliza Historia ya marehemu
 
Jakaya kwenye Tanzia yake alitaja kwamba uchumi haukuwa vyema kipindi cha mzee mwinyi Nimeona aliposimama mzee mwinyi pia kasema uchumi haukuwa vyema kipindi cha Jakaya, haya ni majibizano au ni balagha
 
Back
Top Bottom