TAFSIRI KWA KISWAHILI

Sisi M23 tunaidhinisha kwamba, tunaheshimu jumuiya zote zilizopo katika ukanda wetu na hatuna tatizo lolote na jumuiya ya SADC hususani sehemu yenye Jeshi la wananchi wa Tanzania.

Lakini, Majeshi ya SADC yamekuwa yakitumia mifumo ya roketi nzito aina ya 122 MRLS (bm) inayolipua na kuua raia wema wa maeneo yetu, wanaofanya haya ni wanajeshi kutoka Tanzania.




Your browser is not able to display this video.



Ikiwa mashambulizi haya yataendelea, M23 haitaakuwa na namna nyingine bali kuzikamata silaha, kuziharibu pamoja na wanajeshi wanaotushambilia (wanajeshi wa Tanzania) ili kujilinda.
 
Acheni kusumbua raia wa Congo, muishi kwa amani vinginevyo kipigo kinawahusu

Na Jeshi letu litatekeleza kwa ukamilifu wajibu wake, kama mlizoea kuchezea majeshi mengine hapa mmeula wachuya
 
Watulie wapewe dozi πŸ˜†πŸ˜†
 
Acheni kusumbua raia wa Congo, muishi kwa amani vinginevyo kipigo kinawahusu

Na Jeshi letu litatekeleza kwa ukamilifu wajibu wake, kama mlizoea kuchezea majeshi mengine hapa mmeula wachuya
Wewe utakuwa mgeni wa haya mambo,

Paul Jagame na M23 yake waliipata fresh kipindi cha Kikwete, Paul alikuwa mdogo kama Piritoni na dharau zake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…