Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

Asante mkuu, ushauri mzuri.
 
Namba 6 sio kwamba kuna utamu....why uweke umauti tena
 
Brother umeongea point sanaa
 
Ulipewa ushauri juzi unakumbuka?

Lakini ulivyo jeuri na kukosa adabu ukatishia kumpiga Mazeru Master wa Karate.
Ukitaka kuoa oa mtoto wa kwanza katika familia husika Yani yule aliyewasimamia wadogo zake kwa kila jambo utanishukuru badae
 
Kama umeoa hakikisha mkeo hajui unamiliki kiasi gani cha fedha pia asijue assets zako zote
Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, β€˜Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiun ganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
 
Wewe sasa ndo umeongea uhalisia wa mambo..
Kuna wengine naona wana puyanga tu
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Baressa pia alikua anashona viatu.. na kuuza kahawa..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..
 
Kuna mambo makuu ma 5 ya kuzingatia katika maisha 1 . Kumtegemea MUNGU ( kuwa mtu wa ibada ) 2. Kumuheshimu kila mtu 3.Uaminifu 4.Kufanya kazi kwa bidii 5.nidhamu ya pesa katika matumizi na akiba
Yaani mi napita humu humu aiseee...
Sema ndo hvo wamama hawa jau mkuu
 
Your half man half genius mkuu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…