Kwa hiyo tamaa kwenye pesa haipo ...Hadi pawekwe ulinzi!?...uislam unazuia chanzo Cha matatizo,hauzuwii matokeo japo una utatuzi kwa yote,zinaa mtu ahemkwi bila sababu ni mpaka aone,ndiyo maana ukaanza kukataza kuikaribia,Kisha stara,Kisha kitenganisha jinsia,Kuinamisha macho,adhabu kwa mtendaji...tamaa si kila mtu anaweza zuwia
Sasa huko rohoni kuliko na imani yako, unapomuana huyo mwanamke ameachia nywele zake hiyo imani ya kweli itakuwa wapi?Shida ni kulazimisha tamaduni za waarabu katika jamii zingine eti ni uislamu..ukristo ulishasema wazi kujipamba kwenu kusiwe kwa nje bali ndani...kumaanisha kwamba imani ya nje haiwezi leta ukombozi kamili bali imani ya kweli ya rohoni.
Kiukweli kwa ulimwengi wasasa dini zinakosa mashiko..ndio mana wafia dini wamebaki kukazi shingo n akuua watu ili kuwalazimiasha kufuata matakwa ya dini...za miaka 2000 iliyopita.
#MaendeleoHayanaChama
Kwamba nywele siyo urembo,hazivutii yaani!?Wewe kilaza ukiona nywele tu unapandwa na nyege??
Mwambie alla ashushe kurani inayoendana na maisha ya sasa ya karne hii..kitabu kilichopo sasa hakiendani na jamii hii ya utandawazi ndio mana waumini wameanza kukipuuzia na kukataa hayo maandiko mana yamepitwa na wakati.Sasa huko rohoni kuliko na imani yako, unapomuana huyo mwanamke ameachia nywele zake hiyo imani ya kweli itakuwa wapi?
Dini ndio mfumo wa maisha ya mwanadamu iwe mchana au usiku au karne zilizopita au za sasa ndivyo tulivyojifunza kwenye dini yetu ya kiislamu ndio mana tokea imeshuka Quran hadi leo na baadae itaendelea kubaki current na hakutakuwa na mtu yoyote atakayeweza kuichezea.
Lakini ndio mana tunasema dini nyengine tofauti na uislamu kuna walakini kwamba dini zao zilikuwa za muda tu kwamba wewe mtazamo wako unaona sasa huna haja ya kufuata dini kwa maisha yako ya sasa jua una weakness kubwa sana kwenye moyo wako,
Una ushahidi wa Hilo?..pili hiyo ndoa yako unayotoa mahari na kuachana baada ya miaka mitano siyo biashara ya ukahaba!?..maana tofauti ni muda tu!!
Kwahiyo nywele za mwanamke ni benki?Kwamba benki pasiwekwe ulinzi Ila raia wazuie tamaa zao dhidi ya pesa zilizopo benki!!
Mtu hawezi kuvaa hijabu kisa Mariam alikuwa akivaa hijabu au huwezi kuvaa makobazi na kanzu kisa Bwana Yesu alikuwa akivaa makobazi na kanzu wakati maandiko hayajahusisha uvaaji wa hivyo vitu na kuingia mbinguni.Acha porojo, suala la kuvaa hijabu kwa muislamu ni jambo la kisharia kwa nchi yenye dola ya kiislamu hili sio jambo geni zaidi ya kutii sharia, ingawa sina hakika sana kwamba ukikataa kuvaa hijabu inabidi kuuliwa.
Dini zilizobaki ukitoa uislamu zimebaki kimya sana kwenye mambo kama haya ndio mana unakuja hapa na kudharau hijabu kwasababu ukiristo siku zote unakuwa umekaa kimya kwenye baadhi ya mambo mengi hayana fatwa katika kitabu chenu ndio mana tuna mashaka na ukiristo.
Mama maryam mama yake yesu alivaa hijab lakini wakiristo wameacha kufuata mila ya mama yake yesu mama maryam lakini pia hamutaki kujua kwa nini alivaa, ukiristo uko kimya sana, lakini cha kushangaza munatii sheria zinazotungwa makanisa makuu huko roma italy na marekani
Quran ni ya sasa na baadae na itaendelea kubaki na kuakisi maisha ya mwadamu hapa ulimwenguni hii ni ahadi aliitoa mwenyewe Allah, Nadhan ni vile unajitoa fahamu kuona Magharibi wazungu ndio wanaokupangia wewe maisha ya kuishi, kwamba sasa ukienda chooni ufutie karatasi badala ya maji ikifika mchana jua kali kutu inanuka surualini na kukuwashaMwambie alla ashushe kurani inayoendana na maisha ya sasa ya karne hii..kitabu kilichopo sasa hakiendani na jamii hii ya utandawazi ndio mana waumini wameanza kukipuuzia na kukataa hayo maandiko mana yamepitwa na wakati.
#MaendeleoHayanaChama
Kwahiyo nywele za mwanamke ni benki?
Wewe kama kutamani hilo ni tatizo lako wewe. Ndivyo ulivyoelewa hivi!!?..salon huwa mnaenda kuzifanya nini nywele,ili iweje!?
Dubai mbona wanaishi bila hayo mauaji?Kuna watu Iran na nchi zingine za kiislam Wana hamu na maisha ya kikafiri,ulale na hawara usiku kucha mchana kutwa,kuelewa,fasheni..hawajui madhara yake,kwamba huku tunalea watoto tusio na uhakika Kama ni wetu kweli
Uelewa wako uko vipi!!?..umeambiwa Iran mwanamke asipofunika nywele anauawa!?Dubai mbona wanaishi bila hayo mauaji?
Hawara wa nini na dini inakuruhusu kuoa wa4??
Rutubisha ufahamu/uelewa wakoKwahiyo nywele za mwanamke ni benki?
Wewe kama kutamani hilo ni tatizo lako wewe.
Zinavutia ila ndio muue mtu?Kwamba nywele siyo urembo,hazivutii yaani!?
Una akili timamu!?..una umri gani!?..elimu!?..mbona argument zako za milembe!!!Zinavutia ila ndio muue mtu?
Si wafundishwe tu
Ni kweli ila mikongoto husababisha maafa zaidi...Kinachofuata ni mkong'oto jazz band,kila mtu atarudi Banda lake
Mkuu Mimi hapa nilishawahi tongzwa na mwanamke, Tena akawa anasema kapenda kifua changu, mwisho wa siku tulikuwa field na tunaishi kambi ya wanachuo 10 tukawa tumepanga safari ya kwenda kutembelea sehemu moja, Mimi ilipofika jioni kwakuwa ilikuwa mbali na kambini kwetu nikasema wacha nichukue chumba nilale nitarudi kesho yake, na yeye akasema harudi, tulipofika G.House nilichukua chumba , chakustaajabisha nikashangaa binti ananifata kwa nyuma Hadi chumban kwangu akitaka tukalale wote !! Can you imagine!!?Wanazo,lini ulitongozwa na mwanamke?...nani humfuata mwenziye!?
Itapinduliwa tu maana MBS haeleweki, tokea alivyoanza uza mafuta kwa Yuan, wanamuandalia tu wakati..Mi ningependa ipinduliwe ili tupate mwanzo mpya
Kati ya uliowatongoza na waliokutongoza wepi wengi!?..na wanaume wangapi wanetongozwa na wanawake!?...dini ya mchongo kwa sababu ya hijabu!!?..mama yake yesu akivaaje!?..Nina hakika hakuvaa sketi na blauz,akivaaje?!Mkuu Mimi hapa nilishawahi tongzwa na mwanamke, Tena akawa anasema kapenda kifua changu, mwisho wa siku tulikuwa field na tunaishi kambi ya wanachuo 10 tukawa tumepanga safari ya kwenda kutembelea sehemu moja, Mimi ilipofika jioni kwakuwa ilikuwa mbali na kambini kwetu nikasema wacha nichukue chumba nilale nitarudi kesho yake, na yeye akasema harudi, tulipofika G.House nilichukua chumba , chakustaajabisha nikashangaa binti ananifata kwa nyuma Hadi chumban kwangu akitaka tukalale wote !! Can you imagine!!?
Uhalisia Ni kuwa sikuwahi kumtamkia habari za mapenzi hapo kabla, na Wala sikuwaza Jambo Hilo.
Hivyo tambua kuwa hata wanawake wa hii dini ya mchongo wanazo tamaa Kama zenu ninyi waume wa dini ya mchongo.
Hiyo dini yenu ya mchongo inawapotosha sana jamani
Serikali ya Iran inakua kudili na maandamanoNi kweli ila mikongoto husababisha maafa zaidi...
Wairan hawajawahi shindwa maandamano kirahisi
Wananyongwa ila bado wanaendelea