Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

Ebu tuwe wakweli, hivi wanaume wanamtamani mwanamke kwa kuona nywele zake kweli? Mimi sijawahi kuvutiwa/kumtamani mwanamke kwa nywele.
 
Ebu tuwe wakweli, hivi wanaume wanamtamani mwanamke kwa kuona nywele zake kweli? Mimi sijawahi kuvutiwa/kumtamani mwanamke kwa nywele.
Waafrica wengi hawana nywele za kuvutia
Labda wa babati tu

Nywele ziko kwa watu weupe
Hasa Arabuni na Asia
Naturally black long silky hair sio blondes
Sijui y Mungu katunyima huku Africa daah
 
Mkuu tumesema kichwa wazi kwa mwanamke kuna madhara, si ndo nyie mnatunga sheria watu waache kubaka sasa mambo yanayochochea kubaka ni pamoja na hizo hijab kutovaliwa kwa wanawake ili kuepusha matamanio
Kwa hiyo nywele za mwanamke zikiwa wazi zinawafanya nyie mpate nyege na muwatamani?

Wewe ukiona nywele za mwanamke unashikwa na tamaa?
 
Hao wanawake wa kiislam kwa nini Mnawalazimisha kuvaa ushungi?

Hivi Mungu huwa Analazimisha mtu?

Kwa hiyo Mtume wenu aliwaambia Mlazimishe wanawake wa kiislam wavae ushungi?

Mungu wenu amewaambia MUWALAZIMISHE wanawake wavae ushungi?
 
Yule malaya alikuwa anavaaje?
Unaweza kuweka hapa reference yoyote inayoonyesha mavazi ambayo yule malaya alivaa?

Biblia inasema yule mwanamke alivaaje?
 
Nimegundua waandamanaji wengi ni wakristo[manaswara]
 
Hao wanawake wa kiislam kwa nini Mnawalazimisha kuvaa ushungi?

Hivi Mungu huwa Analazimisha mtu?

Kwa hiyo Mtume wenu aliwaambia Mlazimishe wanawake wa kiislam wavae ushungi?

Mungu wenu amewaambia MUWALAZIMISHE wanawake wavae ushungi?
Amri Kumi za mungu ni lazima au hiyari!?..unafikiri sawasawa wewe!?
 
Amri Kumi za mungu ni lazima au hiyari!?..unafikiri sawasawa wewe!?
Wapi kwenye amri 10 kuna amri inayohusu mavazi..mavazi ni suala la jamii husika na wala sio suala la kulazimishana.

Mambo ya kiimani yahukumiwe na muumba mwenyewe wanadamu tutaumizana na kutesana bure kama yaliyomkuta huyo binti.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hao wanawake wa kiislam kwa nini Mnawalazimisha kuvaa ushungi?

Hivi Mungu huwa Analazimisha mtu?

Kwa hiyo Mtume wenu aliwaambia Mlazimishe wanawake wa kiislam wavae ushungi?

Mungu wenu amewaambia MUWALAZIMISHE wanawake wavae ushungi?
Mwanzo24:65,1wakorinto 11:1-6
 
Unadandia tu bila kuelewa mantiki,kwa faida yako 1wakorinto 11:1-6,mwanzo 24:65
 
Amri Kumi za mungu ni lazima au hiyari!?..unafikiri sawasawa wewe!?
Amri kumi ni hiyari. Mungu hakulazimishi kuzifuata...

Wewe umewahi kumuona wapi Mungu akilazimisha mtu?

Mungu Amekupa Amri, na amekuambia usipozifuata ni nini kitakukuta. Ni wewe uamue uzifuate au usizifuate, mtakutana siku ya mwisho ya hukumu kwenye mahesabu.
 
Unajua maana ya amri!?..Kama atakuadhibu usipofuata hiyo ni lazima au hiyari!?..ubongo wako mbele nyuma nyuma mbele!!?..au unatembea kichwa chini miguu juu kiasi unaelewa mambo tofauti!!?
 
Kwa hiyo nywele za mwanamke zikiwa wazi zinawafanya nyie mpate nyege na muwatamani?

Wewe ukiona nywele za mwanamke unashikwa na tamaa?
Kwa mujibu wa mafundisho ya Quran na hata biblia uchi wa mwanamke ni mwili mzima ukitoa viganja vya mikono na miguu na paji lake la uso,
 
FaizaFox haukubali huu ukweli. Anasema ni propaganda za wadhungu.
 
Kumekucha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…