Umeshasema Mungu, Ni Yeye Mungu ndiye Ataadhibu siku ya hukumu. Sio sisi wanadamu tuanze kuadhibiana kama wanavyofanya hao polisi wa Iran.Unajua maana ya amri!?..Kama atakuadhibu usipofuata hiyo ni lazima au hiyari!?..ubongo wako mbele nyuma nyuma mbele!!?..au unatembea kichwa chini miguu juu kiasi unaelewa mambo tofauti!!?
Basi usinukuu mambo usiyoyafahamu.Sijui
Marekani na Israel huko walipo watakuwa wanacheekaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Serikali ya mijitu mipumbavu sana. Wakikaa vibaya wanaangushwa na wanawake. Hovyo!
Mkivaa nyie na wake zenu inatoshaAcha porojo, suala la kuvaa hijabu kwa muislamu ni jambo la kisharia kwa nchi yenye dola ya kiislamu hili sio jambo geni zaidi ya kutii sharia, ingawa sina hakika sana kwamba ukikataa kuvaa hijabu inabidi kuuliwa.
Dini zilizobaki ukitoa uislamu zimebaki kimya sana kwenye mambo kama haya ndio mana unakuja hapa na kudharau hijabu kwasababu ukiristo siku zote unakuwa umekaa kimya kwenye baadhi ya mambo mengi hayana fatwa katika kitabu chenu ndio mana tuna mashaka na ukiristo.
Mama maryam mama yake yesu alivaa hijab lakini wakiristo wameacha kufuata mila ya mama yake yesu mama maryam lakini pia hamutaki kujua kwa nini alivaa, ukiristo uko kimya sana, lakini cha kushangaza munatii sheria zinazotungwa makanisa makuu huko roma italy na marekani
Kitambo sana, haya maandamano lazima yaipindue serikaliHapo Marekani na Israel lazima wapenyeze majasusi wao kuchochea vurugu
Wewe umetaja amri kumi..ila unaleta vifungu tofauti.Unadandia tu bila kuelewa mantiki,kwa faida yako 1wakorinto 11:1-6,mwanzo 24:65
Khomenei alipo yuko hoiKuna clip moja waandamanaji wanasema; even slavery was once a law! Safi sana super women wa kiajemi.
Nawe ni muajemi wa buza?[emoji1787]Abee
Unafuata mila za wazungu ukinya mnajifutia makaratas ukipishana na mtu haruf mavi balaaMkivaa nyie na wake zenu inatosha
Huwajui Waajemi weweKinachofuata ni mkong'oto jazz band,kila mtu atarudi Banda lake
Naam wacheze na fursaMarekani watatumia hii nafasi kupenyeza agenda zao! Kutoa support kwa waandamanaji nakusema ni haki yao! Sasa unadhani what is next??
Wapi kwenye biblia wameandika hivyo..tamaduni za middle east hizo za jangwani..walivaa hivyo kulinda nywele zisichafuliwe na vumbi ama mchanga wa jangwani..sijui unaelewa lakini..mavazi mengi ya watu middle east yalitokana na hali halisi ya mazingira yao hasa joto na vumbi.Kwa mujibu wa mafundisho ya Quran na hata biblia uchi wa mwanamke ni mwili mzima ukitoa viganja vya mikono na miguu na paji lake la uso,
It is all about CAPITALIZING on opportunities & unexpected situations !! Call it One Mistake-One Goal !!Kwahiyo America alituma hao askari wampige binti hadi kupelekea kifo chake.?
#MaendeleoHayanaChama
Hivi ni udhaifu kiasi gani uone nywele za mwanamke udindishe?Hueleweki unataka kuwasilisha nini kilichopo kweny ubongo wako. Fedha zilipo benki na wanawake wapi wapi? Binadamu tumekuwa wanyama? Wewe unashindwa kujizuia unapoona kichwa cha mwanamke? Na yeye je akiona kichwa chako hashikwi tamaa?
Kama ni vazi la middle east alikotoka yesu na mama maryam kwanini unafuata sheria za kanisa toka Roma Italy ama Vatican?Wapi kwenye biblia wameandika hivyo..tamaduni za middle east hizo za jangwani..walivaa hivyo kulinda nywele zisichafuliwe na vumbi ama mchanga wa jangwani..sijui unaelewa lakini..mavazi mengi ya watu middle east yalitokana na hali halisi ya mazingira yao hasa joto na vumbi.
Acha kukaza fuvu au kuwa mateka wa kifikra jaribu kuchanganua mambo.
#MaendeleoHayanaChama
Akili yako kama ipo ni ndogo sana, nahisi hujapewa akili bali umepakwa akili kama mafuta usoniKuna watu Iran na nchi zingine za kiislam Wana hamu na maisha ya kikafiri,ulale na hawara usiku kucha mchana kutwa,kuelewa,fasheni..hawajui madhara yake,kwamba huku tunalea watoto tusio na uhakika Kama ni wetu kweli
Mimi hapana kwa kweli.Kwa hiyo nywele za mwanamke zikiwa wazi zinawafanya nyie mpate nyege na muwatamani?
Wewe ukiona nywele za mwanamke unashikwa na tamaa?
Wewe si wakike mrembo? Au? Nisamehe kama ninakoseaMimi hapana kwa kweli.