Magufuli alikuwa anapeleka bahasha zilizotuna kwa Cardinal yule na bwana Mufti. Huyu wa KK nyingi yeye alikuwa anazifuata mwenyewe maana Yuko kwenye kitengo.
Waambie,hakuna kiongozi asiyetia fedha kwa makanisa au misikiti,hajaanza yule mama,waache chuki zao kwa yule mama
 
Yaani thread yako Ina ujumbe muhimu sana.
Ebu jaribu kurekebisha hizo lafudhi alafu urudi!
 
TEC wana cha kujifunza kwa wenzao wa Kenya. Acheni kuwakumbatia wanasiasa. Hizo hela zao wanazowapa kila siku kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Kanisa, zina laana!
 
Huyu kwa kikuyu tunamwita Njamba nene ya ita fyuu.😛😛😛😛
 
Hayo majinga yanapendaga cheap popularity, km wanatamani siasa wavue majoho. Mbn makanisani mwao kumejaa kila aina ya ufisadi na dhuluma, ubaguzi wa kidini. RC si kanisa ni kundi la wenye maslahi yao binafsi. Waliangamiza raia Rwanda, mashetani tu hao. Serikali iache kuwaogopa
 
Waipeleke TEC, CCT au BAKWATA watatukuzwa mpaka washangae
 
TEC wana cha kujifunza kwa wenzao wa Kenya. Acheni kuwakumbatia wanasiasa. Hizo hela zao wanazowapa kila siku kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Kanisa, zina laana!
Usidanganyike,hao maaskofu wa kenya ni aibu tupu,kwenye uchaguzi 2022 ruto aliwanunua wote,na ndani ya makanisa yao,wakiwemo hao makatoliki walikuwa wakimpigia kampeni ruto hadharani,hivi sasa wameanza kumsema vibaya lakini ni wao ndio walikuwa wakimsifu,msiwaone hivi sasa eti wanamsema ruto,na ndio maana aliwahibu hadharani kwa kuwaita waongo kwani anajua kuwa aliwahonga,hizo siasa zao tuwaachie wao wenyewe,maaskofu wetu hawana cha kujifunza huko kenya
 
Uko sahihi kabisa memba na pia siasa za Kenya ni za ukabila na inaonekana Askofu huyo ni mjaluo kulingana na Jina lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…