Kile cha Msamvu Moro kilianza kujengwa mwaka 2014 enzi za JK! Kwa hiyo miradi mingine alikuwa anamalizia waliyoanza wenzake!
Kimsingi Vingi kamalizia , na ndio maana kwenye msiba walivyotaja sijui kama vinazid vitano
 
Wabongo akili zao ni kama haziko vile!!


Mwenye uzi kaeleza kabisa uzi wake unahusu miradi ya MAENDELEO iliyokamilika hadi Rais Magufuli anakufa lakini wewe unaanzisha uzi wako tena, Duh hatari hii, hapa tunataka utupe miradi iliyokamika full stop kama unahitaji mapambio nenda kuna special threads zimeanzishwa kwa ajili hiyo.

Kwa hali hii hatutaendela kamwe, ndo nyie ambao huwa mnaulizwa utaenda mjini leo? Unajibu nitapita na kwa shangazi badala ya kusema ndio au hapana wewe unaanzisha mjadala mwingine [emoji23][emoji23] just a joke!!

Rip John Pombe Magufuli!!
 
Sasa msimizi alikuwa kikwete au magufuli.
 
Fedha za watu alizokwapua kwenye akaunt zao, pia mikopo aliyoongeza kwenye deni la taifa kwa zaidi ya asilimia 60,
Haviendani kabisa na maendeleo yanayo hubiriwa
Ni swala la muda tu kunaupigaji mkubwa kuwahi kutokea kuanzia uhuru

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Tamkumbuka kwa kupeleka barabara ya lami kijijini kwetu awamu zote amna aliyewai kuwaza kutuwekea lami ila yeye alivyoingia tu ata mi5 aikuisha tukaanza mtelezo....tuna mipango tukujengee sanamu. R.I.P.JPM
 
Wakati msimamizi akiwa jpm
And he failed miserably, Kikwete kasepa kaacha kigoma haijaungwa na lami , hadi kesho ipo hivyo hivyo , na isingekua juhudi za Zitto kuomba pesa mabeberu ungekuta haina kabisa

Tuachane na hilo
Kwan awamu ya Magu hakua na waziri wa ujenz na usafirishaj ?
 
Swali rahisi tu, ukimtongoza mwanamke ila mwenzio akaja akampa mimba huyo mtoto ni wako?
 
Reactions: BRN
Tajeni vitu spesfic usivitaje kwa ujumla wa dhahania kuficha Mapungufu
 
1. Mabweni ya Chuo Kikuu Cha DAR ES SALAAM
2. Tazara flyover
3. Ubungo flyover
4. Mv. Hapa Kazi TU
5. Mv Mbeya
6. Daraja la Mkupita
Jamani leo ikiwa ni siku ya mazishi yake haki yake tumpeni kila mradi alioukamilisha tuutaje
Kukamata watu hovyo na kubambika kesi
 
Kuvuruga uchaguzi mkuu
1. Mabweni ya Chuo Kikuu Cha DAR ES SALAAM
2. Tazara flyover
3. Ubungo flyover
4. Mv. Hapa Kazi TU
5. Mv Mbeya
6. Daraja la Mkupita
Jamani leo ikiwa ni siku ya mazishi yake haki yake tumpeni kila mradi alioukamilisha tuutaje
 
Upo positive sana nilichojifunza wengi tunatazama upande wa pili.
 
1. Mabweni ya Chuo Kikuu Cha DAR ES SALAAM
2. Tazara flyover
3. Ubungo flyover
4. Mv. Hapa Kazi TU
5. Mv Mbeya
6. Daraja la Mkupita
Jamani leo ikiwa ni siku ya mazishi yake haki yake tumpeni kila mradi alioukamilisha tuutaje
TAZARA flyover ameikuta!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…