Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Kama kuna rufaa usije kuta hekaheka tena zikaanza upyaaaaaa
 
No Reform No Election ni sloghan kama Hapa Kazi tu,Nguvu Mpya na Ari Mpya,Ukweli na Uwazi,One People One Nation,Uhai Kwanza,Uhuru na Umoja,Tujirekebishe,Tukatae kunyanyaswa,50 kwa 50 nk.
 
Kumiliki magari na kesi ya uhaini kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) vinahusiana vipi???
 
Nifungiwe tu, yaan sipati picha siku nakua hata shahidi, afu kwenye Cross examination, niulizwe swali halihusianiani na shitaka, huyo muulizaji atajuta kabisaa,
😂😂😂
😃😃Kwenye cross examination sky is the limit
 
Hawa jamaa ni wazi kuna chuki hivi dhidi TAL na kuna jambo wanatamani litokee kabisa la kutuumiza watanzania
 
..maneno aliyoyasema TL hayahalalishi kumhukumu anyongwe.

..huwezi kumtuhumu mtu uhaini halafu ukapendekeza apewe adhabu isiyoendana na shtaka.

..Katuga amelikoroga.
Unajitahidi sana ku demuka hapa JF, Acha majaji wafanye kazi, tukutane tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi.
 
alikuwa hajitetei. Alikuwa akifundisha Sheria. kama hukujifunza kwenye zile nondo utaendelea kuwa kilaza maisha yako yote
For sure Lissu ni "mjinga" sana. Alichokuwa anafanya kwa siku 4 ni kutoa lecture ya sheria of the highest quality free of charge kwa kila mtu! Ningetamani ile final submission yake ya siku 4 iwe compiled tupate free e-book.
 
Jamaa fala sana huyu Ndunguru, ndio maana basi wamempa yeye hii kesi sababu wanajua anaingilika na kufanya burgaining.
 
Kwa nini
Kwa nini jaji amesema shitaka jipya la kifungu cha 38(2) (d) wakati kesi ya uhaini
Kwa nini jaji amesema shitaka ni jipya la kifungu cha 38(2) (d) wakati Lisu anashtakiwa kwa kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16, Urekebu wa Mwaka 2022. Ambapo hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…