Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi

Kwa Samia, ile ni ibada kwake, kumuona mgonjwa. Mbona zetu frustration zinabubujika kwa shukrani kwake mtukufu
 
1) Ulimuona Mh. Rais wakati akimtuma Mama Samia??
2) Una uhakika gani ile kauli ya "Mwambie Rais Nashukuru" ilikua ni shukrani kwa ajili ya Salaam na sio kitu kingine??
 
Mimi ni Mkristo ila tumezidi kwa Roho mbaya na kudhuru .. Waisilamu Swafi wana utu na wanachukia sana kumhudumu mtu..wanapenda haki na wanathamini sana wengine.. Nilikuwa Pemba nilijifunza mengi sana..
Uko sahihi Mkuu. Mimi nimejifunza mengi sana kwa jamaa wa visiwani hata hawa wa Pwani
 
Nyie mmeshatwangwa na kagalagazwa sasa mmebaki kuweweseka na huyo dada wenu wa mtandaoni anayeeneza chuki na uzushi ili ajikimu. Ni vyema kujitafakari na sio kuendelea kuzungusha mikono hewani.
 
"Sisi ndio sisi wengine mafisi tunauma huku tunapoza"
 
Now naamini abdallah possi hakujiuzuru kwa kupenda
 
"Inataliwa na upendo" umeandika lugha gani hapo we mjomba mjomba?
 
Nyie mmeshatwangwa na kagalagazwa sasa mmebaki kuweweseka na huyo dada wenu wa mtandaoni anayeeneza chuki na uzushi ili ajikimu. Ni vyema kujitafakari na sio kuendelea kuzungusha mikono hewani.
Eti Magufuli hakwenda Kenya kwa sababu aliogopa kuzomewa?
 
Na hapo hapo amemshukuru sana kupitia Mama Samia. Amemuomba amfikishie Mh. Rais asante zake za dhati. Nyie makarai endeleeni kuuguza maumivu ya kata moja na kumsikiliza dada yenu Mange.

Kaka habari za jioni, naona unaambaambaa kwenye kona za chaki. Makarai wanakuambiaje leo?
 
Haya ni maneno ya shujaa aliye lala kitandani km chache kutoka kasarani stadium kenya.tindu antipas lisu.nisauti ya kinyonge kukosa matumaini.chadema kwa kweli sijuii ni semaje! Eti nichama kinachi jianda kuchika madaraaka thubutu.kwa kulia Lia hivyo hata mwenyekiti wa Kijiji itakuwa ndoto.
 
Umeanza vizuri mwishoni umeharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…