Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1) Ulimuona Mh. Rais wakati akimtuma Mama Samia??Wadau
Tundu Lissu leo tarehe 28/11/2017 amemshukuru sana JPM kwa salaam alizomtumia za kumtakia kila la kheri kupitia kwa VP Samia Suluhu.
Ukweli CCM imedhihirisha kuwa kila siku inataliwa na upendo mkubwa bila kujali itikadi za kisiasa.
Source: Habari Leo
Uko sahihi Mkuu. Mimi nimejifunza mengi sana kwa jamaa wa visiwani hata hawa wa PwaniMimi ni Mkristo ila tumezidi kwa Roho mbaya na kudhuru .. Waisilamu Swafi wana utu na wanachukia sana kumhudumu mtu..wanapenda haki na wanathamini sana wengine.. Nilikuwa Pemba nilijifunza mengi sana..
Nyie mmeshatwangwa na kagalagazwa sasa mmebaki kuweweseka na huyo dada wenu wa mtandaoni anayeeneza chuki na uzushi ili ajikimu. Ni vyema kujitafakari na sio kuendelea kuzungusha mikono hewani.Kuna siku itafika zamu yako utatwangwa na huyo unayemuabud na kumsujudia.Ajili zako wakati mwingine uwe unaangalia utu.Udiwani mwisho kaburini baada ya hapo kuna maswali na majibu Bungeni.
Eneza Upendo,na amani si chuki na vita.Kajifunze kwa Bashe na Nape
"Sisi ndio sisi wengine mafisi tunauma huku tunapoza"Wadau
Tundu Lissu leo tarehe 28/11/2017 amemshukuru sana JPM kwa salaam alizomtumia za kumtakia kila la kheri kupitia kwa VP Samia Suluhu.
Ukweli CCM imedhihirisha kuwa kila siku inataliwa na upendo mkubwa bila kujali itikadi za kisiasa.
Source: Habari Leo
Now naamini abdallah possi hakujiuzuru kwa kupendaHakutakuwa na sababu ya kurudi kwenye sanduku la kura....
Anaweza in other way round! Anamlazimisha ajiuzuru, na mchezo unaishia hapo labda mama adindishe!!
Akijiuzuru, katiba inampa mamlaka ya kumteua mtu mwingine ingawaje pia atapaswa athibitishwe na bunge!!
"Inataliwa na upendo" umeandika lugha gani hapo we mjomba mjomba?Wadau
Tundu Lissu leo tarehe 28/11/2017 amemshukuru sana JPM kwa salaam alizomtumia za kumtakia kila la kheri kupitia kwa VP Samia Suluhu.
Ukweli CCM imedhihirisha kuwa kila siku inataliwa na upendo mkubwa bila kujali itikadi za kisiasa.
Source: Habari Leo
Hapana ila Lissu alimwambia Samia 'msalimie Rais mwambie nashukuru sana', wenye akili tu ndio wataelewa Lissu alimaanisha nini.Hivi alimwambia habari ya Kata 42 kwa Kata 1?
Eti Magufuli hakwenda Kenya kwa sababu aliogopa kuzomewa?Nyie mmeshatwangwa na kagalagazwa sasa mmebaki kuweweseka na huyo dada wenu wa mtandaoni anayeeneza chuki na uzushi ili ajikimu. Ni vyema kujitafakari na sio kuendelea kuzungusha mikono hewani.
Hakika, kama hatamtumbua, atamsimanga kimafumbo siku za karibuni..Jamaa atakuwa kanuna leo hata tonge halitashuka!!
Na hapo hapo amemshukuru sana kupitia Mama Samia. Amemuomba amfikishie Mh. Rais asante zake za dhati. Nyie makarai endeleeni kuuguza maumivu ya kata moja na kumsikiliza dada yenu Mange.
Nenda kamuulize.Eti Magufuli hakwenda Kenya kwa sababu aliogopa kuzomewa?
Umeanza vizuri mwishoni umeharibuHaya ni maneno ya shujaa aliye lala kitandani km chache kutoka kasarani stadium kenya.tindu antipas lisu.nisauti ya kinyonge kukosa matumaini.chadema kwa kweli sijuii ni semaje! Eti nichama kinachi jianda kuchika madaraaka thubutu.kwa kulia Lia hivyo hata mwenyekiti wa Kijiji itakuwa ndoto.
Good questionibada njema kutembelea wagonjwa...lakini vipi kama kusingekuwa na sherehe za kuapishwa Uhuru?