Pre GE2025 Makonda: Harusi yoyote itakayofungiwa Arusha Serikali ya mkoa italipia ukumbi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa viongozi hawa wa ccm hata kila Mwananchi atoe Tozo milioni Moja kila mwezi hatutoboi.
 
Hongo zinaendelea! wananchi mtakubali 2024/25 kuwapa hawa madracula nchi kwa ujinga kama huu??
 
Lucas Mwashambwa ukumbi wa bure tushapata, leta kisingizio kingine cha wewe kuchelewa kunioa
Unaolewa na chawa😂, marufuku kukanyaga kwangu, yaani wewe ndio utakaempa nguvu ya kusifia ujinga, utamfulia mjinga mjinga., naheshimu hisia zako za kumpenda chawa(chawa nae binadamu) nawe itabidi uheshimu maamuzi yangu ya kuchukia chawa.

Tutakuwa tunaonana kwenye vikao vya familia tu, na wala kwenye kikao usikae karibu na mimi 🤣😂 nisije nikakunasa kibao bure.
 
Punguza hasira haya yanaongeleka ndugu yangu
Jiandae tukutane Atown muda wowote mimi na Lucas tuna jambo letu
 
Wewe utaongeza mpaka utachoka.viongozi wa nchi hii hawana huruma na kodi zetu.nipo kugoma mjini jana makamu wa raisi alikuwa akitokea njia ya kasuku kuja hapa kigoma mjini msafara wake ulikuwa na zaidi ya magari 60+.watu walisimama pembezoni mwa barabara wakishangaa msafara huo
 
Punguza hasira haya yanaongeleka ndugu yangu
Jiandae tukutane Atown muda wowote mimi na Lucas tuna jambo letu
Aahh. Siwezi ongea mie nina hasira, kuanzia leo mie nawe ni paka na panya, uadui wetu ni zaidi ya mbea aliyeenda kumwambia mke wangu nipo lodge fulani na mchepuko 🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…