Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
CDM inapenda content za CCM ,kiasi kwamba sidhani hata katibu wao wa unezi ( km wanaye ) anafanya kazi yakeHivi leo huu ni uzi wangapi unaohusu Makonda? maana toka asubuhi jamaa anatrend tu humu jukwaani.
Inaonekana jamaa anapiga spana za kufa mtu huko mtaani.
π€£π€£π€£π€£
Wote tumeshuhudia kazi kubwa na njema inayofanywa na mwenezi wa CCM komredi Makonda tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo.
Napenda kuwaalika wote wenye Mapenzi Mema na Taifa letu karibuni katika uzi huu wa Ushauri kwa kiongozi wetu huyu.
Ushauri wenu utafanyiwa kazi kwani ukimshauri komredi Makonda ndio umekishauri Chama.
Mungu wa Mbinguni awabariki.π
Karibuni!
Kushuka na kupanda ni sehemu ya maisha ya mwanadamu,ondoa shakaApunguze kujikweza, atashushwa
KUHUSU BEN saa 8 muulizeni GAIDI MBOWEHatuwezi kumshauri muuwaji yule atuonyeshe kwanza Ben saa8 Yuko wapi na Azory Gwanda ataonekana lini?
Loud and clearHivi leo huu ni uzi wangapi unaohusu Makonda? maana toka asubuhi jamaa anatrend tu humu jukwaani.
Inaonekana jamaa anapiga spana za kufa mtu huko mtaani.
ajikwezae atashushwaKushuka na kupanda ni sehemu ya maisha ya mwanadamu,ondoa shaka
NonsenseUshatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k.
Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa huko hawatumii fuso wala gari la aina yoyote ile bali hutumia fisi.
Jaribu kutumia Fisi kama usafiri huko utakuwa mwamba usiotikisika milele, ataua kabisa upinzani ndani na nje ya chama maana hautakuwa mjanja tu bali mbabe kitaifa.
Usipuuze ushauri wa kambi ya fisi.
Ukweli ndiyo huo.Ushatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k.
Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa huko hawatumii fuso wala gari la aina yoyote ile bali hutumia fisi.
Jaribu kutumia Fisi kama usafiri huko utakuwa mwamba usiotikisika milele, ataua kabisa upinzani ndani na nje ya chama maana hautakuwa mjanja tu bali mbabe kitaifa.
Usipuuze ushauri wa kambi ya fisi.
...CHAWA Utawajua TU !!....[emoji57][emoji57][emoji57]Huyu Mwamba, tumuache, yaan tumuache , huenda akawa kiongozi wa kawaidaa sana, alotoka familia ya kimasikini sana, lakini ndio akawa kiongozi mwenye Kupendwa na Watu kumshinda Hata Magufuli mwenyewe !!.
Huyu Jamaa ziara yake ,Hana Msanii Wala nn, ila watu wanamfata ,maelfu Kwa maelfu.
Aina yake ya Uongozi, ni aina ya Uongozi wa Damuni, sio wa kutengeneza, ana Karama ,ana nyota ya Kupendwa.
Huyu mtu anaongea unaona kaongea Kiongozi ,ana maoni makubwa, hapendi dhuluma, ni mtu wa haki, haongei uongo Wala kusingizia
Kwa namna hii, Nape na Makamba ni lazima wamuonee Wivu...
Ilimchukua Makamba kutumia mitungi ya Gesi, na Bado akakoswa umati wa watu, Tena akiwa WAZIRI.
Leo hii Makonda, mwenezi lkn anajaza namna hii watu?.
Mungu akiwa pamoja nawe, hamna aliye juu yako.