Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!

Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!

Wote tumeshuhudia kazi kubwa na njema inayofanywa na mwenezi wa CCM komredi Makonda tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo.

Napenda kuwaalika wote wenye Mapenzi Mema na Taifa letu karibuni katika uzi huu wa Ushauri kwa kiongozi wetu huyu.

Ushauri wenu utafanyiwa kazi kwani ukimshauri komredi Makonda ndio umekishauri Chama.

Mungu wa Mbinguni awabariki.😀

Karibuni!
Akanyagie hapo hapo

Mawaziri vilaza mfano wa Nape na Makamba wanaotembelea nyota za baba zao piga chini

Aendelee kuwavuruga watoa taarifa mpaka wanyooshe maelezo
 
Ushatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k.

Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa huko hawatumii fuso wala gari la aina yoyote ile bali hutumia fisi.

Jaribu kutumia Fisi kama usafiri huko utakuwa mwamba usiotikisika milele, ataua kabisa upinzani ndani na nje ya chama maana hautakuwa mjanja tu bali mbabe kitaifa.

Usipuuze ushauri wa kambi ya fisi.

Kweli kabisa, ataua upinzani mpaka wa Msumbiji
 
Wote tumeshuhudia kazi kubwa na njema inayofanywa na mwenezi wa CCM komredi Makonda tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo.

Napenda kuwaalika wote wenye Mapenzi Mema na Taifa letu karibuni katika uzi huu wa Ushauri kwa kiongozi wetu huyu.

Ushauri wenu utafanyiwa kazi kwani ukimshauri komredi Makonda ndio umekishauri Chama.

Mungu wa Mbinguni awabariki.😀

Karibuni!
Mshauri aoneshe vyeti kwanza, akikubali na kuonesha tutajua anashaurika halafu tutamshauri na mengine.
Asante.
 
Back
Top Bottom