Makonda: Waziri akayekaa Robo Mwaka bila ripoti ya kazi atachukuliwa hatua

Shida anataka amfunike chongolo ili yeye apewe ukatibu mkuu.
Chongolo ni mtendaji mkuu wa Chama
Makonda ni msemaji wa chama


Sekretarieti inayotaka report ni ya Chama cha Mapinduzi sio ya Makonda
Means umkuti keagan wala Mama keagan

Anachotamka ni maelekezo ya kutoka ktk chama yeye ndio msemaji na Chongolo ni Mwenyekiti wa sekretarieti

Mawaziri wanatakiwa kupeleka report huko sio nyumbani kwa Makonda
Jaribu kuelewa na kukubali kuwa chama kinaelekeza kupitia vikao anapewa msemaji (mwenezi)
 
Unaelewa teamwork maanake?. Do you think it’s that easy hata km sio msomi he’s surrounded with intellectuals who can pass through the files just one after another so all you need is to relax. He’s not that weak come ooooon!!

Team work kwenye Nini?. Katiba inasemaje kuhusu kuwajibika kwa mawaziri?. Itikadi na uenezi inaingiaje kusimamia mawaziri?. Kuna Waziri Mkuu na Rais, na hawajawahi kutoa kauli ya kijinga Kama hiyo. Shauri zenu mmeyataka wenyewe
 
Ripoti ya CAG makonda aliwahi kuisoma?
 

Na bado, mtatoa ufafanuzi mpaka mchoke. Kila mtu anamjua Makonda ni mtu wa ego, anajijenga yeye subiria uone.
 
Kwa taarifa yako zote zilipata mafanikio makubwa sana
we kumbe zuzu km yeye, ipi imefanikiwa, madawa ya kulevya yameisha? Yamemalizwa kwa kauli zake? Jiji bado chafu, mashoga ndio wameongezeka, Dsm watu wanaenda sana kwanza asingweza kuwakataza ni kwasababu ni zoba, Kweli Mpumbavu hakosi mwenzie
 
Hivi Samia alilewa wakati analipeleka jina la huyu lofa?Baadhi ya kazi ya Mwenezi moja ni kutoa taarifa ya yaliyojiri ndani ya vikao vya chama, lingine kueneza sera, imani, ilani na itikadi ya chama. sasa hili fala linampa maagizo mpaka waziri mkuu, km siyo kichaa au pumbavu lisilobadilika ni nini. Ndio maana vijana wengi wasomi wataendelea kuidharau CCM, hata nje ya nchi tutadharauliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…