Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

Hii mada najua tu lazima wanawake waiunge mkono kwa 100% sababu wanajua faida wanazozipata waki ingia kwenye ndoa...

Hata wanawake mashoga(Lesbians) wapo vilevile usiegemee kwa wanaume tu....[emoji1]
Mi nimeolewa mkuu..natamani na binti yangu aje awe na maisha ya familia na kijana wangu aoe pia so it's my wish. Hakuna faida ya ziada zaidi ya upendo na kuunganisha familia pamoja na sio kuzaa leo huko kesho kule mwisho wa siku ni kutengeneza jamii ya hovyo sana.

So lesbians nao ni kuikataa nature yao na kujitutumua kuuvaa ujikedume.

Hii kampeni ni ya kipagani na ya kipinga Imani zetu zote mbili.
 
Ndo muurudishe huo mfumo dume..mnashindwaje kuwacontrol wanawake zenu? Hao wanaowaambia wanasumbuliwa na wake zao kuna mahala wameharibu toka mwanzo thats why wameshindwa kucontrol na kuwa na power over them...mwanaume ni kichwa na hivyo inapaswa kuwa..
 
Ukiipitia sheria ya Ndoa kwa uzuri utaelewa jambo ambalo vijana wanalipiga vita kuhusu Ndoa, kumnyanyua mwanamke na kumkandamiza mwanaume hio ndio agenda ya Siri iliyopo kwenye Sheria ya Ndoa
tuwekee hapa hivyo vifungu vinavyomksndamiza mwanaume mpk kusababisha kukataa ndoa
 
Wanaosema/ kuandika KATAA NDOA wengi wao wanapelekewa moto.

Dume zima hutaki kuowa unataka nini kama si kuolewa?
Akili yako imedumaa! Unahisi kuoa/kuoelewa ndo kila kitu katika maisha!!?? Hiyo sex hata bila ndoa inapatikana tena kirahisi mno. Kwa taarifa yako hata mashoga wana ndoa zao kama nyinyi.
 
NASISITIZA
 
Kuomba ruhusa? [emoji23] Kumaanisha nini yaan niombe ruhusa mwanaume niombe ruhusa kwenye mji wangu? Ameoa au ameolewa?
Hizo ndoa zenu za 50/50 ukiaga na mkeo naye anaaga! Wanataka 50/50, kama wao wanaomba ruhusa basi nawe uombe ruhusa![emoji1787] Nawaangaliaga tu mnavyobabaishwa
 
Mshana acha uongoo kizazi cha saivi siyo kma kile chenu ambacho ndoa ilikuwa jambo LA muhimu na msingi kama hoja zako hazijatofautisha kizazi na kizazi basi hazina mashiko vijana siyo waoga wala hawana matatizo ya kiakili wala kimaumbile ila Yale wanayoyaona na kuyashuudia
 
Nitaoa ila tukishindwana kabisa kabisa nitaacha halafu nitaoa tena na tena.

Nachojaribunl kulinda ni afya yangu ya akili tu.

Maana hata usingo unaweza kutetereka kiakili
Ukioa nfo utaelewa ndoa na usingo ni kipi kinaweza kukutia ukichaa[emoji3]
 
Mshana Jr umeandika kila kitu nakupongeza sana kwa kuliona hilo na kulisemea, hili halipaswi kunyamaziwa kuna vijana wengi hawajaingia kwenye ndoa kampeni kama hizi ni kuwaharibu kisaikolojia.
 
Wanaotamani kutoka ni waliokosea kuoa ama kupata wenza sahihi
Nipe mifano ya waliopatia kuoa. Sisi huku nje tunasikia milio ya maumivu tu, hatuoni hiyo furaha ya ndoa mnayohubiri. Wengi wenu mnashindwa kutoka kwenye hicho kifungo kwasababu ya aibu au kuwahurumia watoto! Ukikaa na watu 10 waliooa utakuta 8 kati yao hawana furaha ya ndoa na hao wawili waliobaki unakuta ndoa zao bado changa!
#KATAANDOA
 
Naunga mkono hoja [emoji817]... umenena vyema.

Ili vijana waingie kwenye ndoa inabidi utumie mfumo wa watungulizi wetu mababu zetu "mfumo dume"

Vinginevyo kizazi cha sasa cha mabinti watasubiri sana swala la kuolewa.....
 
Kwahiyo mtu kama hana amani ndani ya ndoa yake hatakiwi kutafuta msaada nje!?
Basi ndoa ni gereza!
#KATAANDOA
 
Mshana Jr umeandika kila kitu nakupongeza sana kwa kuliona hilo na kulisemea, hili halipaswi kunyamaziwa kuna vijana wengi hawajaingia kwenye ndoa kampeni kama hizi ni kuwaharibu kisaikolojia.
Hii mada najua kwa 100% watakao sapoti ni wanawake maana wanajua kwamba sheria za ndoa zina wa "favour" wao....[emoji1]

Tatizo si ndoa, Tatizo ni hizo sheria za ndoa zilizopo zinazo "favour" upande wenu zaidi na kukandamiza uhuru wa Mwanaume...

Mkitaka ndoa mkubali "mfumo dume"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…