Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Mi nimeolewa mkuu..natamani na binti yangu aje awe na maisha ya familia na kijana wangu aoe pia so it's my wish. Hakuna faida ya ziada zaidi ya upendo na kuunganisha familia pamoja na sio kuzaa leo huko kesho kule mwisho wa siku ni kutengeneza jamii ya hovyo sana.Hii mada najua tu lazima wanawake waiunge mkono kwa 100% sababu wanajua faida wanazozipata waki ingia kwenye ndoa...
Hata wanawake mashoga(Lesbians) wapo vilevile usiegemee kwa wanaume tu....[emoji1]
So lesbians nao ni kuikataa nature yao na kujitutumua kuuvaa ujikedume.
Hii kampeni ni ya kipagani na ya kipinga Imani zetu zote mbili.