Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Mambo 30 usiyoyajua kuhusu utapeli wa Q-Net (Network Marketing)

Asante kwa elimu nzuri mkuu, mzee wangu kanipigia simu Leo akiniuliza kuhusu hii Qnet nahic wanataka kumliza.
 
Habari wana janvi nilikuwa naomba kupata ufafanuzi juzi ya kampuni ya Qnet jinsi inavofanya biashara na nikweli kuna mafanikio ukijiunga nayo nimekuwa
nikipata ushawishi tika kwa marafuki zangu mbalimbali kujiunga na kampuni hii.
 
fanya hivi mandazy

Fungua google.com

Kisha andika site:jamiiforums.com "Qnet"
1607172699560.png


Utapa thread nyingi na utajifunza mengi toka kwa wengine kuhusu qnet.

Anza na hii link: https://www.jamiiforums.com/threads...u-utapeli-wa-q-net-network-marketing.1340251/

Baada ya kupata elimu basi washirikishe na hao wanao kushawishi kujiunga Qnet
 
Habari wana janvi nilikuwa naomba kupata ufafanuzi juzi ya kampuni ya Qnet jinsi inavofanya biashara na nikweli kuna mafanikio ukijiunga nayo nimekuwa
nikipata ushawishi tika kwa marafuki zangu mbalimbali kujiunga na kampuni hii.
Kimbia mbio hawa ni matapeli, kuda dada aliacha kazi ofisini akachukua mafao yake yote akaingiza QNET, sasa amebaki analia na kupiga mizinga tu hana nyuma wala mbele
 
Me nishawah kuwachora Sana hao qnet nilienda presentation zote mbil huku nikijua kila kitu basi nikawambia somo nimelielewa sasa ngoja kesho niende bank kuchukua loan alaf niwaletee mzigo bwana bwana weeee

Hiyo cku kuna kidada na jamaa aliyenileta pale wakanichukua na kunipeleka mgahawa fulan saf Sana nikaambiwa agiza unachotaka nikaagiza kyepe na nusu kuku alaf nikaagiza na smainoff moja kubwa ,story zikawa zinaendelea kuwa yaan ww una bahat Sana hapa tayal ushatoboa[emoji23][emoji23][emoji1787]

Basi nikamsosomola yule kuku weee nikatupia na kinywaj changu story ndio zikanoga Zaid had mida fulan wakaniacha na kwenda ofisin kwao na wakanipa naul ten wakat sehem ninayoenda Ni 400 tu basi nikabeba kinywaj changu huyo kwangu huku nimeshiba balaa.

Kesho yake asubuh zikaanza kumiminika cm kuwa niwah bank kufanya process za loan mm hapo nawachora tu ,nikawambia msijar ,kufikia saa tano nikapigiwa cm Tena kuwa tayal ushafika bank nikawambia ndio ila Kuna mambo hayako sawa kwenye nyaraka zangu hivyo natakiwa kwenda mahakaman kwenda kuapa hivyo Kuna gharama Zaid ya elfu hamsin maana kuapa ten na mhuri wa mwanasheria nimeambiwa 40 nikawambia kwasasa Sina hiyo pesa had salary itoke ndio ntarud huku bank [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]kuprocee .bwana bwana weee wamekutana na mhuni mwenzao.

Si wakapiga simu kuwa usiache bana ngoja ofisi ikusaidie hiyo hela ili ukamirishe huo mchakato na huyo nonayewaeioiana nae Ni yule jamaa aliyenialika pamoja na kile kidada ,nikawambia mtakuwa mmenisaidia Sana maana mwenyew natamani kutajirika haraka Sana.

Jamaa akadai asingekuwa bize angekuja moja kwa moja bank ili tumalize Hilo swala had kwa mwanasheria had mahakaman ivo wakanitumia muamala wa sh 65 kuwa toa 60 alaf 50 maliza Hilo swala alaf ten ya chakula na maji [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787] walipotuma tu muda huo nilikuwa kazin hata Kaz ikabid niombe ruhusa kuwa Kuna dharura nikaenda zangu kitaa nikanunua kuku wawil matetea mmoja akachinjwa cku hiyo hiyo mmoja nikamrushia kwenye Banda la kuku Kama kumbukumbu so akaenda kuongea idad ya kuku niliokuwa nao mwanzon .Nikachukua kvant kubwa na juice kubwa kwa ajil ya mama shemej yenu yeye hanywi pombe.

Bwana weee jion nikapigiwa cm vipi ushamaliza nikawambia kila kitu tayal nasubir mzigo uingie tu niwaletee nasi cku ya Kwanza ya pili wakapiga Tena cm nikawambia nimeambiwa ntapata pesa had zipite cku tano.

Sasa walipojichanganya si wakapiga cm kwa ofisa mikopo kuwa bwana mbona unamcheleweshea mteja wetu pesa yake tunakuomba mfanyie haraka aipate hata leo leo,yule afisa mikopo akauliza jina anaitwa Nan maana hapa wanakuja wengi ,si wakataja jina yule afisa akawambia huyo jamaa hajawah kopa hapa na taarifa zake hazipo hapa [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamaa akanipigia cm kuwa mbona umetudanganya na lawama kibao aiseee nilimfungukia balaa shit za kutosha akaanza lawama sijui umepishana na utajir lakin utaona maendeleo yangu baada ya mwaka mmoja nikamjib sio lazima wote tuwe mataita Nan sasa atamtumikisha mwenzie?

Mara basi rudisha gharama zetu nikamwambia niliwaomba au nyie mlinipa kwa hiari yenu basi akawa mpole tu ,tukikutana kitaa hakuna Salam wala Nini na hapo nikawa nishapiga loss kwenye laki moja ivi.

Maisha yakasogea wee saiz Ni mwaka na nusu umepita naona mtu Hali yake inazid kuwa mbaya Zaid kauza pik pik kauza vitu vya ndan had mke wake aliamua kurud kwao ,aliuza had boma la nyumba ,Sasa mm tukikutana kwa Sasa Nampa Salam kizush tu lakin anajisikia aibu balaa.

Hiki ndio kiss changu na hao watu wa qnet
 
Ukiona mchezo wa pesa mtu wa "mwisho" hana wa kumdai ujue hiyo ni ponzi scheme/ pyramid.

Ipo siku wawekezaji wataisha au kutokana na uelewa kuongezeka au sheria "mtu wa mwisho atakosa haki yake"
 
Back
Top Bottom