Ile posting ya juzi iliyosema watu wanatekwa wengine wanawekwa pale pale Ikulu. Wapo watu 36 pale,ambao wametekwa toka enzi ya Magufuli.
Watu wengine wanatekwa wanatekwa wanapelekwa nchi jirani,hata Rwanda ambapo wanakuwa wageni wa that ungentle tall man.
Unapafamu pale Kisarawe, pale Kisarawe,matendo ya Pugu? Unapafamu,si ndiyo? Basi watu wengi wanatekwa wanapelekwa pale. Pale wanapelekwa wale wajeuri sana ili wanyooshwe,au wasiposikia,wauawe.
Umekisikia kituo cha Polisi Sitaki Shari? Umekisikia? Basi pembeni yake pale ipo nyumba ya detention. Kwa mfano, msaidizi wake Membe alipelekwa pale.
Kwa hiyo mimi nikayasoma haya mambo juzi nikaona kwamba this is bad trouble. Vyombo vya Dola vinakamata wahalifu lakini sometimes vinawalipua wapinzani halali wa maovu.
Nikafikiria wiki haitakwisha salama. And so it seems.
Sijamaliza.
Kituo cha polisi Temeke. Hapo ndio uchicheme. Hatari tupu.
UVCCM ghorofa ya tano,chumba no. 11,hapo ndio wanaratibu umafia wao na gari zao ambazo hazina number plate. Huu ni utekaji wa wanaCCM ,kuadabishana wenyewe ndani ya Chama. Niliona pale mtu kawekwa wiki tatu analazimishwa kukiri kwamba maneno aliyosema kuhusu kada mkubwa wa Chama yalikuwa ni uongo.
Inasemekana TAZARA kuna jengo chakavu eneo la Polisi,hapo pia wanatunza watu. Hapa alikaa sana Bwana Adinani.
Kunduchi kuna nyumba ya ghorofa tatu ambayo ni VIP prison. Kule wanapelekwa matajiri.
Watekaji.
Kikosi Maalum kipo chini ya Dogo.
Dogo anayesemwa hapa sijui ni nani.
Lakini inaonyesha matatizo yanayotokea when you give toys to children.