Chawa wa mboga mboga hapa hawapiti na wanajifanya hawaoni.
Duuh.
Unapotaka kuziba mtumbwi unaovuja unaanza na Tundu kinalopitisha maji mengi. Sasa makada WA CCM mngeanza nahayo mabilioni kabla ya kuongelea vi milioni
 
Wewe ni malaya wa makengeza pambaf mkubwa
 
Aliyesema Watanzania tumerogwa hakukosea, mtu anatokea kutetea fisadi aliyeuza bandari eti sawa na fisadi aliyewekewa m20, au mimi ndiye niliyerogwa zaidi sijijui.
Haujalogwa lakini umekosea. Tatizo ni kama huyo fisadi mdogo anataka akabidhiwe nchi. Sasa mtu kama huyo akikabidhiwa hazina si atakuwa kama waliomtangulia?

Na hii ndio experience ya nchi nyingi za Afrika. Chiluba alipokuwa mpinzani alikemea sana ufisadi. Alipopata urais, alijaza magodown na suti za bei mbaya. Wamalawi walimpigania Mchungaji Chakwera awe Rais wao baada ya kuchoka na ufisadi wa serikali ya Peter Mutharika. Chakwera akawa mwizi kuliko Mutharika. Leo Mutharika amekabidhiwa tena urais.

Ndio maana kama mtu ambae hata hajashika dola anakuwa na tuhuma kama hizo, ni wajibu wetu na wa chama chake kuhakikisha kuwa hizo tuhuma hazina ukweli. Wasipofanya hivyo ni dalili kuwa wakishika dola tutawakumbuka hao tunaosema waliuza bandari.

Amandla...
 
Sio rahisi kupata bank statement ya mtu ila ya Heche anayo Katuga na hakuna hatuo yoyote kachukuliwa! Au urahisi upi unaongelea?
Hilo chawa hamna kitu
 
Maum

Mbowe lia lia
 
Litajibiwaje wakati hamtaki uchunguzi ufanyike? Uchunguzi ndio ungeweka wazi sababu ya yeye kuwekewa pesa hizo. Hata hao aliowataja Mange nao ilitakiwa wachunguzwe ndio ithibitishwe kuwa ni pesa haramu.

Amandla...
Watagomaje kuchunguzwa ikiwa statement wanazo hao Serikali.

Serikali wanaweza kufanya lolote na Chadema hawana ubavu wa kugoma. Waje tu na ushahidi kwamba huo ni ufisadi pasina shaka.
 
Wewe ni mwanachama wa kike kinachoongozwa na kahaba mkuu
 
Maum


Mbowe lia lia
Mbowe ameingiaje hapa? Another deflection ( nadhani unajua maana ya deflection). Ni kama badala ya kumtetea Heche unasema mbona fulani ameiba zaidi! Hamsemi " Heche sio mwizi na huu hapa ushahidi au alitupa ufafanuzi kuhusu zile pesa". Badala mnasema "Heche hana access na account za Chadema ". Hiyo ndio deflection. Kama ilivyo hii ya kumuingiza Mbowe anaposhutumiwa Heche.

Amandla...
 

Kama Sio kweli unapanic nini?
 
Watagomaje kuchunguzwa ikiwa statement wanazo hao Serikali.

Serikali wanaweza kufanya lolote na Chadema hawana ubavu wa kugoma. Waje tu na ushahidi kwamba huo ni ufisadi pasina shaka.
Statement sio ushahidi. Ni kweli kuwa Takukuru wanaweza kumhoji Heche. Lakini kwao hiyo haina tija. Wanaopaswa kumsafisha Heche ni Chadema wenzake sio serikali. Kwa kufanya hivyo wataonyesha tofauti yao na CCM. Kuwa wao hawana uvumilivu na aina yeyote ya ufisadi hata uwe mdogo vipi. Na ndivyo watakavyokuwa watapoaminiwa na wananchi kushika dola.

Amandla. .
 
Eti mnatingisha kiberiti, huyo kahaba anawaonaje wafuasi wa chadema? Kwamba ni mazuzu kiasi hicho? Huyo malaya ni Mmarekani anataka nchi yetu ichomwe moto? Ili iweje? Tuishi wapi? Wote tutapata uraia wa Marekani? Anachochea vijana hasa wale wasijielewa kwa kutengeneza document vyeti. Kingine anawapumbaza nyumbu kwamba ana uwezo wa kupata taarifa nyeti tena kutoka benki, nawadharau sana hawa wanaomwamini, ni aibu, ni fedheha, ni udumavu wa akili kumwamini huyo mbwa ambaye hata siyo raia wa nchi yetu!
Ila na hii serikali imezubaa mnooo, ingekuwa kwa Kagamr hako kahaba kangeshakamatwa au kutangulizwa ahera, alikofikia siyo wa kumpuuza ana malengo makubwa machafu sana! Shauri yenu vyombo mtajikuta mmchelewa km mwaka jana! Hii mitandao msiipuuze! Huyo Rais km anaona edda ni muhimu aache Urais wetu! Ndiyo shida ya kumweka mwanamke kuwa Rais tena mwenye complication ya mambo ya EDDA
 
Wizi wa kimazingira, wewe ni mtumishi wa umma mshahara wako unajulikana ni 1.5m akaunti inasoma b20, kwanini watu wasihoji.
Azimio la Zanzibar lili ruhusu watumishi wa umma kufanya biashara.

Mwenye mabilioni ni mfanya biashara, sio mtumishi wa umma. Na alikuwa na tenda kubwa serikalini.

Amandla...
 
Heche ni mtumishi wa uma we pimbi?
 
Haijitambui ile MISUKULE ya CCM..wote tungekuwa tunashambulia toka pande zote, Minyang'au ndani ya serikali hii dhalimu ya CCM , ingenyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…