Aina ipi ya msaada? Ameagiza Helcopta zipeleke misaada kule? au Wakuu wa wilaya na Mkoa kwenda kupiga picha pale ndio misaada?
 
Aisee sasa inamaana huko milimani ndiyo mvua imenyesha zaidi?, maana wanasema huku kwa watu mvua haikua ya kutisha hivo hadi mafuriko🤔
Ule mlima kuna kitu watu hawakijui vizuri, iko hivi mlima hanang upo kama kilimanjaro una-crater kwa juu ambamo panamaji kwa miaka mingi hivyo ilipopiga mvua kubwa ngoma ilifurika nakusababisha mpasuko chinikwachini pressure ilipoongezeka nakusababisha landslide/mudflows
 
Lakini wenyeji wanadai mvua iliyopiga ni ndogo, sasa hiyo mudflow imetokana na nini, maana yake hiyo crater haijafurikwa na maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…