LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Bora ujifunze kupitia wengine aisee. Ukingoja yakukute gharama ni kubwa sana πtumejifunza kupitia ninyi, hatutaki stress za mapenzi.
bora pesa ndo iniwazishe kuliko kamdada hata nyashi hakana au mdada mwenye nyashi afu hana hakili
utazeeka kwenuAtanishusha vyeo siwezi kufanya hivyo kwanza kwa mtu mwenye kiburi
Unaingia either unatesti zari au nahemea maokoto... Wamama haoKama huyo mtu hauna upendo naye kwanini unaingia naye kwenye mahusiano sasa?
Kweli tenai nalilia mtu jamni...πππchai
Ili mkomeDuh! Mbona mnatukomesha
kabxa mkuu, pia sema vidada vya siku hz vimekaa kisalit salit ukiona dariri huhangaiki kumrekebisha but unaanza kugive-up mapema bila yey kujuaBora ujifunze kupitia wengine aisee. Ukingoja yakukute gharama ni kubwa sana
πππzimejaa tele huku mjini, labda wa vijijini ndiyo watahangaikaKweli tenai nalilia mtu jamni...
We nione hv hv ujanja wote huu ila naliliaga mimi maana najua kupata mnato sio kazi ndgo
Kabisa mkuu mimi kwasasa naona nifocus kwanza kujijenga kiuchumi hayo mengine yatakuja nikishajipataUnaingia either unatesti zari au nahemea maokoto... Wamama hao
Wababa waO wanatumia wakijua kuwa Wala Hauna vile wanavyopenda ... Wanajimenyea TU
by the way mapenzi sio kitu cha kuchukulia serious π‘nowadays or else unatafuta presha na kifo cha mapema take it easy
Kumbe kumechangamka hv humu πππ mpaka Minatoπππzimejaa tele huku mjini, labda wa vijijini ndiyo watahangaika
Mmmmh wewe kweli...πππzimejaa tele huku mjini, labda wa vijijini ndiyo watahangaika
Ni heri, kuliko kukubali kwenda kupigwa matukioutazeeka kwenu
Una uhakika wa kujipata Sasa πππKabisa mkuu mimi kwasasa naona nifocus kwanza kujijenga kiuchumi hayo mengine yatakuja nikishajipata
Mkuu si tumekubaliana wewe ni mtu na heshima zako πππππKumbe kumechangamka hv humu πππ mpaka Minato
πππsijasema mimiKumbe kumechangamka hv humu πππ mpaka Minato
Mimi sijui maana siyo mlaji, waulize walajiππMmmmh wewe kweli...
Mnato pure au anadanganya kwa kuifinyia kwa ndani
Sawaa mm nawafuatiliaa tuuu ππππππsijasema mimi
Yeah! Naamini Mungu atanifungulia milango ya baraka na nitafanikiwaUna uhakika wa kujipata Sasa πππ
Hutakii Sonona kbsaaa πππSINTOWEZA WALA KUJA KUTESEKA JUU YA MTOTO WA MTU!!
TUMEKUTANA UKUBWANI ASEEH
AFYA YA AKILI NA MWILI NDO MTAJI WANGU,,,,