Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Nimesikitika sana, wanaume mnapenda kuteteana sana ila nina imani ntapata aliye bora kuliko yeye
 
Nakazia

Hakuna kitu kinaumiza kama mapenzi aseeh, maake akili na nguvu unaziwekeza kwa mtu,,

Sasa iende tofaut ni htree sana,,

Ndo kifo, magonjwa, na matukio ya hovyo hovyo
Hatari sana mkuu, mapenzi yanatesa mno Mungu atufanyie wepesi
 
😂😂 Daaah darasa huru Ili aisee
Hahahaha hatare sana,

Fanya tafiti nyingi waliopo kwenye ndoa wengi wanakuambia ni sababu Nina watoto, mwingine dini, mwingine anaogopa ataonekana vipi na sababu nyingi Ila mwisho wa siku ni wabaki kuilinda ndoa na kuvumilia hakuna namna wakiamini kifo kitawatenganisha😂
 
Dizasta Vina mbnaa alisema ndoa ni ngumu ndoa ni sumu jmn 🤕🤕🤕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…